Madam Ritha achukia vijana kumtongoza

Yaani Rita hakui walahi tena ana wajukuu zaidi 5 sasa lakini bado anapaparika na ujana khaaa.....ndio maana vijana wanamtongoza hawatamuogopa kamwe
 
Watu wanaojinadi kuwa na heshima hawatafuti wenza kwa kutangaza mitandaoni.

Wanatafuta kwa kupewa mutual introductions kutoka kwenye networks zao za family and friends.

Ina maana yeye mtandao wake wote wa famikia na marafiki umefilisika watu kabisa?

Au kashaharibu na walio karibu naye wanajua alivyoharibu, na hivyo anawinda wasiomjua mitandaoni?
 
Lile ni tanganzo la biashara. Amefungua milango vijana wa apply ndio maana kasisitiza hataki wasio na sehemu ya kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…