Madam Ritha achukia vijana kumtongoza

Sasa mtu utasemaje ni wa hovyo wakat hujaishi naye, kama nipakukaa si wanatafuta wakiwa pamoja🤠
 
Jishangazi...
 
Kwa nilivyoelewa shida wanaomfuata ni ma-homeless tatizo sio umri hapo. Mshangazi unataka kijana independent plus elimu flani na mwelekeo wa maisha. Hatachomoa
 
KUTONGOZWA TONGOZWA NI ISHARA YA KUWA WA BEI NAFUU.
TAFUTA DEREVA AU BODIGADI.
SIKU ZA BARIDI NA MVUA ZENYE RADI KAMA LEO 20 JAN 2024, WANAKUKAZA JUU KWA JUU.

AU NDIO ILE KILA KITU UNACHO, ILA UPENDO WA MWANAUME NDIO UNAOKOSEKANA.
KWANI SAUTI YA MWANUME NDANI NI TIBA KWA HISIA ZA MWANAMKE.
 
Mwambie ache ushamba akajifunze kwa Rais wa France Macron alipendwa na mwalimu wake akiwa hana kitu leo Rais kama anawapenda awachukue hawataki apotezee asitusumbue hatukumwambia ajipost
 
Mi mtu mzima kweli na pa kukaa si haba. Lakini kuhusu kushauriana ndio sina ushauri mimi mwenyewe Sijitambui.
 
Mwambie ache ushamba akajifunze kwa Rais wa France Macron alipendwa na mwalimu wake akiwa hana kitu leo Rais kama anawapenda awachukue hawataki apotezee asitusumbue hatukumwambia ajipost
Uongo Macron anatoka familia ya Matajiri huyo Mkewe alimpenda sababu Kwao Wana kitu.

Mtu huna kitu kupendwa na mwanamke sahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…