Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Dogo spika kanikuna kweli.Nadhani Kikwete na Samia wamepata vidonge vyaoWasalaam
Madam Speaker ameshauri watu wakasome, wasinunue PhD nitaweka video.
Nchi hii ina vitu ya ajabu sana wanataka kuchezea mpaka taaluma bila haya.
Wakasome, narudia, wakasome
Siyo wewe ata mimi, kufanya hivyo ni kutoa dhihaka kwa mfumo mzima wa elimu. Huwezi kukimbia umande alafu ukatie denge sifa ya juu kabisa ya kielimu. Huu ni udhalilishwaji wa elimu yetu kwa kiwango cha SGRSiwezi kumuita babu Tale au Msukuma doctor Mimi.
Sawa kabisa mkuu, ndio maana kwa nchi za wenzetu kuondoa mkanganyiko huu, Dakari wa heshima ni lazima aanze na neno Dr hc. kabla ya majina yake. HC ni neno la kilatino likimaanisha honoris causa, yaani udaktari wa heshima. So ataitwa Doctor honoris causa, kifupi Dr hc. Babu Tale Tale. Akiwa daktari wa filosofi ataitwa Dr. Mwigulu Nchemba (PhD)Msome tena jamaa Usikurupuke, Amesema wanaweza kutumia initial ya DR kabla ya majina yao ila hawaruhusiwi kutumia Neneo PhD baada ya majina yao
Kuna mambo mengi ya kufanyia mzaha, ila siyo elimuDogo spika kanikuna kweli.Nadhani Kikwete na Samia wamepata vidonge vyao
Ni kweli. Wanatuonyesha kama taifa la vilaza wakati tupo vipanga wenye PhD za kweli kama mieKuna mambo mengi ya kufanyia mzaha, ila siyo elimu
Tena siyo zile za jalalaniNi kweli. Wanatuonyesha kama taifa la vilaza wakati tupo vipanga wenye PhD za kweli kama mie
Hii tabia ya kupuuza elimu imelifanya taifa hili kuwa la hovyo sana. Wenye sifa nanujuzi hawapewi nafasi. Watu wahuni wasio na elimu wala ujuzi ndio wanafanya maamuzi ya nchi.Wasalaam
Madam Speaker ameshauri watu wakasome, wasinunue PhD nitaweka video.
Nchi hii ina vitu ya ajabu sana wanataka kuchezea mpaka taaluma bila haya.
Wakasome, narudia, wakasome
Acha wivu nenda kasome.Kwani hata hizo za kisomo zimesaidia nini nchi hii....
Dunia iliyoendelea haikujengwa na wala haiongozwi na Phds
Kuna wawili ni Kama umewakwepa hivi1. Dr Mwamposa,
2. Dr Harris kapiga,
3. Dr Kimaro,
4. Dr. Taletale,
5. Dr. Msukuma,
6. Dr. Rwakatare (RIP),
7. Dr. Mrema (RIP),
8. Dr. Maganga (RIP),
9.
Nenda kasome.Spika ana mamlaka gani ya kutotambua hizoDegree au PhD ilihali TCU inazitambua........!
Mengine ni wivu tu usiokuwa na msingi, msukuma kupewa hiyo degree hakumbadilishi akawa msomi kwa lolote Bali ni mtu tu na chuo chake wame appreciate kitu Fulani kutoka kwake na kwa muono wao na si bunge ndo Lina approve......!
Ndo maana Kuna watu Kila siku hawaogezi hata kilo Moja kumbe sababu ni roho mbaya na wivu wa kipumbavu.
Mtu anayetunukiwa PhD ya heshima haibadilishi chochote na Wala Hana sifa ya kuitwa Dkt sasa sijui wivu unatoka wapi.Nenda kasome.
Kuna sifa za kutunukiwa wengine hawana, tatizo ndipo linapoanziaMtu anayetunukiwa PhD ya heshima haibadilishi chochote na Wala Hana sifa ya kuitwa Dkt sasa sijui wivu unatoka wapi.
Kikubwa spika na wabunge wake waombe ufafanizi mamlaka zinazohusika ili wasijadili vitu vya kitoto.