Madam Speaker just killed it. Wakasome, hakuna PhD za kugaiwa kama pipi

Madam Speaker just killed it. Wakasome, hakuna PhD za kugaiwa kama pipi

Wasalaam

Madam Speaker ameshauri watu wakasome, wasinunue PhD nitaweka video.

Nchi hii ina vitu ya ajabu sana wanataka kuchezea mpaka taaluma bila haya.

Wakasome, narudia, wakasome
Dogo spika kanikuna kweli.Nadhani Kikwete na Samia wamepata vidonge vyao
 
Siwezi kumuita babu Tale au Msukuma doctor Mimi.
Siyo wewe ata mimi, kufanya hivyo ni kutoa dhihaka kwa mfumo mzima wa elimu. Huwezi kukimbia umande alafu ukatie denge sifa ya juu kabisa ya kielimu. Huu ni udhalilishwaji wa elimu yetu kwa kiwango cha SGR
 
Msome tena jamaa Usikurupuke, Amesema wanaweza kutumia initial ya DR kabla ya majina yao ila hawaruhusiwi kutumia Neneo PhD baada ya majina yao
Sawa kabisa mkuu, ndio maana kwa nchi za wenzetu kuondoa mkanganyiko huu, Dakari wa heshima ni lazima aanze na neno Dr hc. kabla ya majina yake. HC ni neno la kilatino likimaanisha honoris causa, yaani udaktari wa heshima. So ataitwa Doctor honoris causa, kifupi Dr hc. Babu Tale Tale. Akiwa daktari wa filosofi ataitwa Dr. Mwigulu Nchemba (PhD)
 
Wasalaam

Madam Speaker ameshauri watu wakasome, wasinunue PhD nitaweka video.

Nchi hii ina vitu ya ajabu sana wanataka kuchezea mpaka taaluma bila haya.

Wakasome, narudia, wakasome
Hii tabia ya kupuuza elimu imelifanya taifa hili kuwa la hovyo sana. Wenye sifa nanujuzi hawapewi nafasi. Watu wahuni wasio na elimu wala ujuzi ndio wanafanya maamuzi ya nchi.
 
Spika ana mamlaka gani ya kutotambua hizoDegree au PhD ilihali TCU inazitambua........!

Mengine ni wivu tu usiokuwa na msingi, msukuma kupewa hiyo degree hakumbadilishi akawa msomi kwa lolote Bali ni mtu tu na chuo chake wame appreciate kitu Fulani kutoka kwake na kwa muono wao na si bunge ndo Lina approve......!

Ndo maana Kuna watu Kila siku hawaogezi hata kilo Moja kumbe sababu ni roho mbaya na wivu wa kipumbavu.
Nenda kasome.
 
Nenda kasome.
Mtu anayetunukiwa PhD ya heshima haibadilishi chochote na Wala Hana sifa ya kuitwa Dkt sasa sijui wivu unatoka wapi.

Kikubwa spika na wabunge wake waombe ufafanizi mamlaka zinazohusika ili wasijadili vitu vya kitoto.
 
Kuna sifa za kutunukiwa wengine hawana, tatizo ndipo linapoanzia
 
Back
Top Bottom