Madam zangu muige Tabia za mke wa Deepond

Numbisa

Umeongea maneno mazito kiasi kwamba naona nikiongeza chochote nitaharibu au kuondoa radha nzima ya maneno yako.

Asante Kwa maoni yako
 
[emoji257][emoji257][emoji257][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji3531][emoji3531][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Mwanaume ni mnyama kama ilivyo dume la simba, impala, fisi, mbwa koko, mbuzi n.k hivyo lazima amiliki pride ya wanawake. Sisi sio njiwa..

Kuwa na mwanamke mmoja hizo ni taratibu ziliwekwa ili kuwanufaisha ninyi.
 
Mke wa yule jamaa ni kama hana pa kwenda.....hivyo kuwa zoba inamfaa.....mi simu yako siangaiki nayo ila nikiona viashiria vya dharau zilizopitiliza ndoa navunja hata kama ilifungwa Kwa mnyororo
Na kwamaelezo ya jamaa Mara kadhaa anatenda kosa yeye ila kibao anageuziwa mwanamke Na vikao vya familia juu,..kifupi siku huyo mwanamke akichoka tutashuhudia mauaji .
 
Shukran mkuu,
MamaG Japo nae ana mapungufu yake ya kibinadamu ila Sijawahi kujutia kuoa.

Kwenye kile chama Cha wakataa ndoa Mimi sipo kabisa, wife hanipi stress.

siwez kumlaumu stress najitaftia mwnyw kwa kina mamaJ kwa minyeg yangu[emoji4]
 
Shukran mkuu,
MamaG Japo nae ana mapungufu yake ya kibinadamu ila Sijawahi kujutia kuoa.

Kwenye kile chama Cha wakataa ndoa Mimi sipo kabisa, wife hanipi stress.

siwez kumlaumu stress najitaftia mwnyw kwa kina mamaJ kwa minyeg yangu[emoji4]
At least umekuwa mkweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…