scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
Nyumba zina siri nyingi ndugu yangu,wengine wamebaki kulea watoto hawana namna[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwezi mzima anaenda kulia msamaha daily asubuhi hadi jioni harafu saivi ajikute anauliza uliza si atafungiwa vioo kabisa kaona bora liende tu
Nakukubali sana😂 una msimamo haswa.Nishafika mkuu[emoji4]
Daah umetisha Sana madamMimi sitaki kuwa mmojawapo ya yeyote hapo kudeal na deeppond inataka combination ya mcharuko na wife kwa pamoja, sasa nani anaweza hiyo
Sawa madam wangu umeelewekaAcha kila mtu achague fungu lake
🤣🤣🤣 Mama j ni Noma kafika home Kwa mwamba hlf kudhibitisha kwamba alifika akaandika na Jina lake pale kabisa kwenye tofali.😂😂😂 Huyu anatushaurije ma FBI?yaani mama J kajimilikisha kiulainiii kabisa! Hapana jamani tuendelee na u FBI wetu,au unasemaje my wangu?
ChiefMwanaume ni mnyama kama ilivyo dume la simba, impala, fisi, mbwa koko, mbuzi n.k hivyo lazima amiliki pride ya wanawake. Sisi sio njiwa..
Kuwa na mwanamke mmoja hizo ni taratibu ziliwekwa ili kuwanufaisha ninyi.
Yaani DP acheni adate jamani mama J ana mapenzi ya ki teenager 😅🤣🤣🤣 Mama j ni Noma kafika home Kwa mwamba hlf kudhibitisha kwamba alifika akaandika na Jina lake pale kabisa kwenye tofali.
Yaani muwe Tu ma FBI maana wakina mama j wako wengi Sana kwakweli
MadamUhakika my wangu ni kuchunguza hadi msg za PATAPATA
Tunasoma between lines kama mwalimu wa inshaMadam
😁😁😁 wewe ni Noma na nusu aisee!
Mungu awaepushe na hayo mabalaaNa kwamaelezo ya jamaa Mara kadhaa anatenda kosa yeye ila kibao anageuziwa mwanamke Na vikao vya familia juu,..kifupi siku huyo mwanamke akichoka tutashuhudia mauaji .
Duuh hili ndio nalisikia Leo MimiHalafu huenda hajui kusoma si alisemaga alimwokota uswahilini huko,manzese sijui kwenye ule uswaz haswa hadi mamake hakupenda auoe
ChiefShukran mkuu,
MamaG Japo nae ana mapungufu yake ya kibinadamu ila Sijawahi kujutia kuoa.
Kwenye kile chama Cha wakataa ndoa Mimi sipo kabisa, wife hanipi stress.
siwez kumlaumu stress najitaftia mwnyw kwa kina mamaJ kwa minyeg yangu[emoji4]
Hongera kwako chief Kwa kupata wife Bora kabisaWife wangu namjua vzur,
Afu kwasababu namcheat Sana Kuna MDA namchunguza Sana, hajawahi kua na wazo hata la kunicheat[emoji4]
MadamWakataa ndoa kuna muda wana point, imagine mtu umeolewa na mtu kama huyo jamaa unayemzunguzia, kwanini usikatae ndoa na kukimbia, na kuja kutuletea uzi humu? hakuna ndoa hapo ni mtu mmoja ameamua kumsindikiza mwenzie aishi maisha yake.
Anachofanyiwa huyo dada ni unyanyasaji wa kihisia, ni vile tu hana pa kwenda.
Ngoja nikusanue mleta mada, Ukiwa na mume ambaye ni rafiki yako, haihitaji akuambie nani amepiga simu saa nane usiku, Simu ikiita mida ambayo "siyo" unaanza kuguess atakuwa fulani, au ni fulani, au ni fulani, na katika assumption moja ujue kuna jibu sahihi. Haihitaji mtu akuambie mlinzi kapiga simu, akipiga simu mlinzi utajua tu!
Nataka kusemaje? Kama unapendwa kweli, Unakuwa unamjua mumeo na ratiba zake bila ya kumfatilia nyuma nyuma au kushika simu yake.
baby zuYan mimi naichunguza simu ya mume wangu mpaka amezoea yan nukisikia tu msg nasoma kabla ya yeye kusoma🤣😂😂😂 sema tu ndo hana makando kando hayo, kila mtu kuna vitu Mungu kamzidishia na kumpunguzia huyu naona mambo ya madem hana
Madam[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nacheka kama mazuri,hivi unaujua uchungu wa mume wewe
Kweli chiefDah hata mimi maza angekua ni mtu wa kufatilia simu ya mzee ndoa ingeshadondoka kitambo. Dingi ni mzinzi kisenge yan hata simtetei🤣
Kuna kipindi nishawahi mrukia hewani mchepuko wake unaoomba omba ela mara zote unalia shida tu Kila wakati.
Nikamwambia oya acha mambo ya kishenge kudate na baba zako acha kudanga tafuta size yako olewa tulia. Sijui kama ashawahi mwambia mzee ila naona kimya mpaka leo. Ni miaka imepita Sasa
Umeona eeh huenda ndo hayo yanampagawisha mwamba wetu bhana.Yaani DP acheni adate jamani mama J ana mapenzi ya ki teenager 😅