Madame B ana mpenzi huku? nifahamisheni plz!

We hujipendi! Waume zake!ni Maafisa usalama wa kutoa meno,kucha,kutoboa macho,! Wauulize Kibanda, na ULIMBOKA!!
 
Jarbu bahati yako, kwa ukongwe wangu lakini kila nikijarbu ananitolea nje.

Sikukatishi Tamaa.
 
Usitake kuyajua ya humu ndani unaweza ukazimia bure.
 
Dogo usiwe na wasiwasi yule hanaga MPENZI, mapenzi sio fani yake na hana mpango wa kupenda ila ana waume 8, we nenda na "benki statementi" na password ya ATM yako utakuwa umemaliza kazi...

Duu kwa hali hii bora basi aolewe na kampuni, maana benki statement mm sina!
 
ni hiko kipenguin unachokiona kwenye glass au?

Au nini?
Hapana yeye hana mpenzi ila anasaccoss humu ndani na kwa taarifa nilizopewa saccoss imekuwa sasa hivi ni bank
Arushaone na Filipo kijana anataka ajiunge na bank ya baba
duuuu ana saccos? sasa hapo balaa tena!
Dogo unatafuta kung'olewa jino au kuvunjwa ugoko? kuna mjeda humu ndani ngoja akusikie,mim simo!
mamaaaaa nimebugi nn kuuliza, ila nimeuliza tu jamani, sijaparamia, plz niachieni meno na kucha zangu!
Anao co Anae

Naunga mkono hoja kweli Madame B ni bikira
tena ana aibu nasikia ukitaka kumtongo za anakula vijiti na kumumunya vidole
kama mke mwema umepata
heeee mbona wanichanganyeni tena wanaCC? mara kucxha, meno, bikira, yeuwiiiiiii!
naoana hii itakuwa thread yako ya mwisho.
naomba msamaha mapemaaaaaaaa, nakiri nimekosea kumbe huyu ni untouchable eehh!
1-Nahisi atajeruhiwa na kituchenye ncha kali.
2-Aandae kucha na meno tu
yeuwiiiiiiiiiii . . . . . . . . . !!!!! kucha, meno du itakuaje jamani! plz njoo huku Madame B niombee msamaha mbona umejificha sasa, wananishambulia huku!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…