Madame B ana mpenzi huku? nifahamisheni plz!


THECHANCE wala usiogope, niamini mimi tu! Madame B hajui mwanaume yukoje kwanza hata sufuria bado hajavunja japokuwa ana miaka 35, hao wote wanaokutisha walimtaka Madame B akawakataa ndio maana wanakuonea wivu mwaya, we nenda direct kamtongoze uone yaani utafurahi mwenyewe nakuapia vilee!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wengi wanamwonea wivu, Madame B ni kifaa
kama haukubali jaribu uone
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

eeeehhh wanitia moyo weye, wanataka kweli nife lady daktari? au unataka cadava!
 
Ila mbona Madame B yeye yupo kimya, kukanusha saccos hakanushi, kukubali bikira hakubali, hajavunja sufuria yupo kimya, sasa nipo njia panda ujue Madame B njoo basi tia neno hata moja tu!
 
Last edited by a moderator:
We hujipendi! Waume zake!ni Maafisa usalama wa kutoa meno,kucha,kutoboa macho,! Wauulize Kibanda, na ULIMBOKA!!

We njegele usituletee uchafu wa kwenye siasa hapa. TUMEELEWANA?
 

Wewe nenda kalee ndoa kule alaa, umemwacha mmeo peke yake uko bize kupigia debe utamu wa wenzio
 
Last edited by a moderator:
Wewe nenda kalee ndoa kule alaa, umemwacha mmeo peke yake uko bize kupigia debe utamu wa wenzio

Hujasikia mumewe Arushaone alikuwa pande za Msumbiji anarudishiwa kifanyio chake na Mzee Bulitundaga a.k.a Makocho.. Ila kwa sasa hutomsikia maana jamaa karudi na hasira mpaka anakiloweka kifanyio.. Lady doctor hapati nafasi hata ya kuchomoka..
 
Last edited by a moderator:

We dogo hujipendi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…