Madame B ana mpenzi huku? nifahamisheni plz!

Nilitaka hivyo hivyo ili ukamalizie kulima
kuna mashamba mengine yamekosa walimaji
si unajua mambo ya kule kwetu kwa mtoto wa mkulima.

hahahaaaa!!ndio habari ya kulima tena
mi aaakhaa bakini na chuo chenu mi staki!!
 
khaa Mamndenyi unabadilisha maneno kwanini lakini? yeye sio bikira ni "BIRIKA"...alaah hujasoma vizuri utambulisho na wasifu wa ndani wa Madame B kutoka kwa Lady doctor?
Naunga mkono hoja kweli Madame B ni bikira
tena ana aibu nasikia ukitaka kumtongo za anakula vijiti na kumumunya vidole
kama mke mwema umepata
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…