Madame B ana mpenzi huku? nifahamisheni plz!

Wewe nenda kalee ndoa kule alaa, umemwacha mmeo peke yake uko bize kupigia debe utamu wa wenzio

we Baba V vipi? Hebu niache huko...... Hapa sipigi domo bure...... Mwenzio kuna kitu nalenga
 
Last edited by a moderator:
kufa hufi bab' utajeruhiwa tu, then nitakutibia, so, we jitose tu kwa bibie bila wasi.....!

we Baba V vipi? Hebu niache huko...... Hapa sipigi domo bure...... Mwenzio kuna kitu nalenga
Heee jamani! mbona kama roho yangu inatakiwa! wewe Lady doctor ndio wakala nn? niambie unalenga nini tumalizane kwa hela, yann kumaliza kwa kutoana kucha na meno bure jamani? haya naimbie sasa hv ndg daktari!
 
Last edited by a moderator:
Heee jamani! mbona kama roho yangu inatakiwa! wewe Lady doctor ndio wakala nn? niambie unalenga nini tumalizane kwa hela, yann kumaliza kwa kutoana kucha na meno bure jamani? haya naimbie sasa hv ndg daktari!

njoo nikuume sikio humu wachawi wengi!
 
Last edited by a moderator:
Vikwazo gani
yaani kuweka kinanihii cha Arushaone kwenye chupa
unasema ni kazi,
sasa unaweza kazi ipi kama hiyo tu imekuwa ngumu.
Mimi huwa sishindwagi kazi yoyote labda kama kuna vikwazo, kama vikwazo nilivyokutana navyo kwenye kazi uliyonipa...
 
Last edited by a moderator:
Vikwazo gani
yaani kuweka kinanihii cha Arushaone kwenye chupa
unasema ni kazi,
sasa unaweza kazi ipi kama hiyo tu imekuwa ngumu.
Ha ha ha haaah!! Hiyo kazi ina vikwazo vingi sana, kwa sababu Arushaone ana ulinzi usioonekana. Haonekani kirahsi....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…