Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo umetusema wengi, ...
Wewe tu na roho yako, mie nimeongea na afki yangu wa kufa na kuzikana Madame B maana nashangaa hasomeki..Hapo umetusema wengi, ...
Madame B, hata haka kautepe ka BRONZE jamani kanakushinda....!
![]()
Jina kuubwa, lakini unatuangusha bana, hebu sema na shemeji akuondolee hii aibu....... LOL
Copy to: Paloma, amu, Asprin, na Kipaji Halisi.....
Mzee wa Rula nakuomba ukalinde kura kwanza, hapa hapakufai kwa muda huu, swala la utepe linamuhusu mtajwa hapo juuNaamini umepitia kwa Madame B kwa kuwa unammudu lakinj hapo umetupa mawe gizani!!!
KakaKiiza....Naona sasa Mtambuzi uko idara ya masoko JF hivi hako katepe ni bei gani vile??
A cleavage or a placket seems now to define a subtle way of a woman's femininity power........oozing out from her boobs! A heavy, reddish lower lip has acquired a different meaning in our medical nomenclature signifying.....................
![]()
Madame B, hata haka kautepe ka BRONZE jamani kanakushinda....!
![]()
Jina kuubwa, lakini unatuangusha bana, hebu sema na shemeji akuondolee hii aibu....... LOL
Copy to: Paloma, amu, Asprin, na Kipaji Halisi.....
Mzee-kijana Mtambuzi we acha tu.
Hawa waume zangu nuksi kweli............wananipenda wanione tu ninavyowawapeti peti jukwaani, lakini kunilipia pesa hawataki.
Sasa nitafanya mpango wakuwaacha wote, mmoja baada ya mwingine.
Ila jamani Baba V, hata ka elfu 50 kanakushinda?
Aibu kubwa kwa mwenyekiti kama wewe.
:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
Wewe tu na roho yako, mie nimeongea na afki yangu wa kufa na kuzikana Madame B maana nashangaa hasomeki..
Hata mwenyewe anajua, maana mkakati wa kujitwalia utepe tuliujadili pale LEO TUPO HAPA PUB na takriban wajumbe wote waliokuwepo kwenye hicho kikao wametimiza ndoto zao isipokuwa yeye, na ndio maana namkumbusha tu kiroho safi
ha ha ngoja Arushaone
tedo Chilli Ben Saanane Ruttashobolwa Chimbuvu CHAI CHUNGU wote mlioko kwenye saccoss ya Madame B mnahusika hapa
wengine nimewasahau hata kama mlipeana talaka jua inawahusu