Madansa 3 wa Diamond Platnumz wazamia Marekani kwa Visa za WCB

We mjinga kwelikweli..!!!

Kwenda Marekani ndio kufumuliwa marinda?

Acha kuingiza uchoko wako kwenye thread zisizo husiana.

Damn Fool...
Yaani lazima wafumuliwe marinda hahaha unachezea unaenda sehemu kijinga. Kwa Diamond naamini walikuwa na maisha mazuri ya kitajiri mno kuzidi huko kwenye kufumuliwa marinda. Wewe ndiye choko usijejua nchi za watu.
 
Walitumia Fursa
 


Baada kurudi Tanzania wakakata ticket na kurudi kimya kimya, sio Marekani ninayoijua, labda uwe na multiple entry ambayo Diamond hakuwa na sababu ya kuikata, ongea mengine.
 
Inaamana mondi alikuwa hawalipi jamaa hela ya maana mpaka wakimbie au
Madansa wanalipwa hela ndogo sana. Sio kwa Diamond tu hata kina Koffi Olomide na wanamuziki wengine wa DRC hulalamikiwa na madansa. Majuzi madansa wawili wa JB Mpiana walizamia USA ila kwa baraka zote za Mpiana. Aliwaruhusu wabaki. Ni jambo la kawaida kwa wakongo ila kwa Tanzania bado ni ishu ngeni.
 
Yaani lazima wafumuliwe marinda hahaha unachezea unaenda sehemu kijinga. Kwa Diamond naamini walikuwa na maisha mazuri ya kitajiri mno kuzidi huko kwenye kufumuliwa marinda. Wewe ndiye choko usijejua nchi za watu.
Acha negative thoughts, USA inapokea illegal migrants zaidi 1 million,2022-2023 👈 Sasa hawa wote wanaenda kufumuliwa marinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…