Mwamposa kushindwa kumsukuma huyu ili aanguke na aonekane ana mapepo.
Mwanasiasa hana Dini.
🤣Mwamposa kushindwa kumsukuma huyu ili aanguke na aonekane ana mapepo.
Ilitakiwa akija kanisani asante kichwani na asukumwe ili aonekane amepagawa na mapepo. 😁😁😁😁
Ni wazandiki na wanafiki
Tusishangae kuona tukio lingine linaandaliwa kwa mgongo wa kuiombea nchi dua na Rais. Safari hii itakuwa zamu ya wavaa bakozi na baadae KKKT.
Wasomi wamefanya nn ? Hamna wasomi hapo kama inabisha prove?Tusishangae kuona tukio lingine linaandaliwa kwa mgongo wa kuiombea nchi dua na Rais. Safari hii itakuwa zamu ya wavaa bakozi na baadae KKKT.
Nilicho nacho uhakika ni TEC kutofanya ujinga kama huo maana wale ni wasomi waliobobea. Kule hakuna maponjoro kama lile la Ponjoro La Kizimkazi na Ponjoro wa Kinondoni
Siasa za kampeni ya uchaguzi zitapigwa vizuri sana mwenye nyumba za ibada. Hawa wapuuzi wanaamini kuwa waumini wa imani zote ni wajinga na wapumbavu kama wao.
Kwamba wao hawana utashi wala itikadi zao, wanaelekezwa kama watoto wa madrassa au sunday school.
😂😂😂😂🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿✌🏿✌🏿✌🏿😂
Wamepigwa dafrao na Bibi yao...Sasa wanameza mate tu, hawana cha kusema.
Basi yale maagizo ya Mwamposa kwa waumini kufukuza majini huwa ni uongo balaaa, kama ameomba na Bi Ushungi hajatoa hata jini moja la Kizimkazi basi huyu Mwamposa sio Kiongozi wa dini ni Sangoma tapeli
Na hapo usikute baada ya kufanyiwa maombezi mazito; akafungashiwa pia na zawadi ya mafuta, sabuni, na maji ya upako, udongo kutoka Izrael!! Acha kabisa!! 😀Wamepigwa dafrao na Bibi yao...Sasa wanameza mate tu, hawana cha kusema.
Mwamposa ameingia na biblia kuondoa majini kwa Bi Mkubwa.