- Thread starter
- #21
jizi lililokomaaBasi yale maagizo ya Mwamposa kwa waumini kufukuza majini huwa ni uongo balaaa, kama ameomba na Bi Ushungi hajatoa hata jini moja la Kizimkazi basi huyu Mwamposa sio Kiongozi wa dini ni Sangoma tapeli

Hata shetani hapo hakaribii kwani ataona ni myeyusho uliozidi mipaka.
Unasema ukweli lakini hasira zinakufanya uharibu mtiririko wa maelezo yako. Ni kweli, hapo ni nyumbu wanaingizwa chaka lakini kusema TEC wana elimu ya kukariri mh.....Wakristo bhana mnatamani waislamu kuwafuata ila bado ..Media zenu zilikuwa zinasambaza habari ya price wa kuwait mpaka aibu yaani .
Shida yeni ni nn hasa ?🤣🤣Rais ni wa nchi nzima ,anawezaje kukataa mbona kwa papa anaenda ...Huyo Mwamposa mama yake kaenda kutibiwa nje ya nchi ,hapo anatumika ili nyumbu wake wawe pamoja na CCM.
Akienda against kama TEC atarudi kulima mpunga huko kwao , serikali ni dude kubwa hao TEC wote kimya na elimu zao za kukariri ...Wako kimya wanapoteza mvuto.
Mbona ni kama huyo mwenye shati jeupe pembeni ana mashaka na jambo fulani!?
Kote huko anatafuta mileage ya kisiasa ' ndio maana tuna waambiaga dini ni psychology weapon.wanasiasa hana Dini.
Dini yake ni madaraka.
Juzi katoka kwa wachawi machief, leo yuko na tapeli Mwamposa
😂😂Hiyo inaitwa MIXX BY YAS.
Halafu sasa kaenda kusomewa kisomo na ma Sharifu wa Comoro..wanasiasa hana Dini.
Dini yake ni madaraka.
Juzi katoka kwa wachawi machief, leo yuko na tapeli Mwamposa
Kwani anayemwomba shetani? Mungu ni moja ila approach tofautiTusishangae kuona tukio lingine linaandaliwa kwa mgongo wa kuiombea nchi dua na Rais. Safari hii itakuwa zamu ya wavaa bakozi na baadae KKKT.
Nilicho nacho uhakika ni TEC kutofanya ujinga kama huo maana wale ni wasomi waliobobea. Kule hakuna maponjoro kama lile la Ponjoro La Kizimkazi na Ponjoro wa Kinondoni
Siasa za kampeni ya uchaguzi zitapigwa vizuri sana mwenye nyumba za ibada. Hawa wapuuzi wanaamini kuwa waumini wa imani zote ni wajinga na wapumbavu kama wao.
Kwamba wao hawana utashi wala itikadi zao, wanaelekezwa kama watoto wa madrassa au sunday school.
sahihi kabisa siku zote Wana siasa Huwa wanazitumia dini kwaajili ya kupata reputation ya kisiasa kinacho fanywa na mwamposa ndio kinacho fanywa na mashekhe wa BakwataWakristo bhana mnatamani waislamu kuwafuata ila bado ..Media zenu zilikuwa zinasambaza habari ya price wa kuwait mpaka aibu yaani .
Shida yeni ni nn hasa ?🤣🤣Rais ni wa nchi nzima ,anawezaje kukataa mbona kwa papa anaenda ...Huyo Mwamposa mama yake kaenda kutibiwa nje ya nchi ,hapo anatumika ili nyumbu wake wawe pamoja na CCM.
Akienda against kama TEC atarudi kulima mpunga huko kwao , serikali ni dude kubwa hao TEC wote kimya na elimu zao za kukariri ...Wako kimya wanapoteza mvuto.
Hawana elimu wewe prove physically ,hao wanapewa ili kupelekea mrejesho huko nje ...Kutumia akili za udaktari , engineer kwenye ibada ni utapeli ...Mpaka yule Tanzania one hana alichogundua anagomea ubunge kama wakina msukumaUnasema ukweli lakini hasira zinakufanya uharibu mtiririko wa maelezo yako. Ni kweli, hapo ni nyumbu wanaingizwa chaka lakini kusema TEC wana elimu ya kukariri mh.....
Tukio la kishetani hili
Waja leo waondoka leo.........Mtangatanga .....mdigodigo....... naishia hapoHawana elimu wewe prove physically ,hao wanapewa ili kupelekea mrejesho huko nje ...Kutumia akili za udaktari , engineer kwenye ibada ni utapeli ...Mpaka yule Tanzania one hana alichogundua anagomea ubunge kama wakina msukuma
Elimu zao hizi ,kilq siku ila utashangaa ; mashine na madawa ya hospital vyote vinatoka nje ,hata wao wanasoma mifumo ya nje ..Kiufupi hawana impact ...Wenzao wako kwenye mifumo ya AI sasa ,wao wanashangaa hapa hawajui cha kufanya 🤣🤣.Waja leo waondoka leo.........Mtangatanga .....mdigodigo....... naishia hapo
Mwamposa kushindwa kumsukuma huyu ili aanguke na aonekane ana mapepo.
Ilitakiwa akija kanisani asante kichwani na asukumwe ili aonekane amepagawa na mapepo. 😁😁😁😁