Tusishangae kuona tukio lingine linaandaliwa kwa mgongo wa kuiombea nchi dua na Rais. Safari hii itakuwa zamu ya wavaa bakozi na baadae KKKT.
Nilicho nacho uhakika ni TEC kutofanya ujinga kama huo maana wale ni wasomi waliobobea. Kule hakuna maponjoro kama lile la
Ponjoro La Kizimkazi na
Ponjoro wa Kinondoni
Siasa za kampeni ya uchaguzi zitapigwa vizuri sana mwenye nyumba za ibada. Hawa wapuuzi wanaamini kuwa waumini wa imani zote ni wajinga na wapumbavu kama wao.
Kwamba wao hawana utashi wala itikadi zao, wanaelekezwa kama watoto wa madrassa au sunday school.