Madaraka haya madaraka! Sasa hapa ni imani gani? Uislamu - Ukristo? Kisa Ikulu!

Tusishangae kuona tukio lingine linaandaliwa kwa mgongo wa kuiombea nchi dua na Rais. Safari hii itakuwa zamu ya wavaa bakozi na baadae KKKT.

Nilicho nacho uhakika ni TEC kutofanya ujinga kama huo maana wale ni wasomi waliobobea. Kule hakuna maponjoro kama lile la Ponjoro La Kizimkazi na Ponjoro wa Kinondoni

Siasa za kampeni ya uchaguzi zitapigwa vizuri sana mwenye nyumba za ibada. Hawa wapuuzi wanaamini kuwa waumini wa imani zote ni wajinga na wapumbavu kama wao.

Kwamba wao hawana utashi wala itikadi zao, wanaelekezwa kama watoto wa madrassa au sunday school.
 
Wasomi wamefanya nn ? Hamna wasomi hapo kama inabisha prove?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…