KUWA MKWELI, MADRASA NDIYO ELIMU UNAJIVUNIA? KADHI COURTS AMBAZO ZINAONEA WANAWAKE AS OBJECTS OF MEN NDIZO UNAZISIFIA? KUTUMIA KIARABU NDIY UNAJIVUNIA. THINK MORE AND MORE ABOUT LESS AND LESSElimu zao hizi ,kilq siku ila utashangaa ; mashine na madawa ya hospital vyote vinatoka nje ,hata wao wanasoma mifumo ya nje ..Kiufupi hawana impact ...Wenzao wako kwenye mifumo ya AI sasa ,wao wanashangaa hapa hawajui cha kufanya π€£π€£.
Elimu basi prove ,tangu uhuru mpaka leo eti elimu ...Unasoma Theology mpaka unakuwa Phd ,haujui kutatua hata kesi ya talaka ,haujui kuendesha bank ya dini yenu bila ya riba wakati dini yenu inakataza riba ..Hauwezi kuendesha hata mahakama bila ya elimu ya wazungu ,halfu unasema eti una elimu ya dini.
Wake wameonewa wanawake? Soma objects zipi hizo umekariri.. Nikuoneshe sheria za kiislam kama hautozipenda utakuwa mjinga ..Mwanamke kapendelewa sana tena hata kunyenyesha mtoto anatakiwa kulipwa .KUWA MKWELI, MADRASA NDIYO ELIMU UNAJIVUNIA? KADHI COURTS AMBAZO ZINAONEA WANAWAKE AS OBJECTS OF MEN NDIZO UNAZISIFIA? KUTUMIA KIARABU NDIY UNAJIVUNIA. THINK MORE AND MORE ABOUT LESS AND LESS
Mbona papa hajawahi kuwa mwanamke kama ukiristo unawajali wanawake?KUWA MKWELI, MADRASA NDIYO ELIMU UNAJIVUNIA? KADHI COURTS AMBAZO ZINAONEA WANAWAKE AS OBJECTS OF MEN NDIZO UNAZISIFIA? KUTUMIA KIARABU NDIY UNAJIVUNIA. THINK MORE AND MORE ABOUT LESS AND LESS
Vipi, kwani kwenye Uislam kuna Imam/ Sheikh mwanamke?Mbona papa hajawahi kuwa mwanamke kama ukiristo unawajali wanawake?
Gwajima tutakupelekea moto we endelea.Tusishangae kuona tukio lingine linaandaliwa kwa mgongo wa kuiombea nchi dua na Rais. Safari hii itakuwa zamu ya wavaa bakozi na baadae KKKT.
Nilicho nacho uhakika ni TEC kutofanya ujinga kama huo maana wale ni wasomi waliobobea. Kule hakuna maponjoro kama lile la Ponjoro La Kizimkazi na Ponjoro wa Kinondoni
Siasa za kampeni ya uchaguzi zitapigwa vizuri sana mwenye nyumba za ibada. Hawa wapuuzi wanaamini kuwa waumini wa imani zote ni wajinga na wapumbavu kama wao.
Kwamba wao hawana utashi wala itikadi zao, wanaelekezwa kama watoto wa madrassa au sunday school.
Magu aliombewa sana tu
WANAFIQ AL MUNAFIQUNAH HAO.
Kwa mara ya Kwanza namuona mpambe WA rais kafumba machoπππ
Umemuona huyo mwenye miwani nyuma ya maza!!?.. yaani mwamposa atajikuta chini asijue kaangukaje, halafu umeme sharti uzimeMwamposa kushindwa kumsukuma huyu ili aanguke na aonekane ana mapepo.
Ilitakiwa akija kanisani asante kichwani na asukumwe ili aonekane amepagawa na mapepo. ππππ
Ulisharudi toka Iran ulipokuwa unareportia JF habari za vita? ππππUmemuona huyo mwenye miwani nyuma ya maza!!?.. yaani mwamposa atajikuta chini asijue kaangukaje, halafu umeme sharti uzime
Mama yangu Samia wewe ni muislam. Ila Mungu wetu ni mmoja. Ingia kumuomba Mungu kwa Imani. Roho Mtakatifu wa Mungu anakutaka uingie ktk toba kwa kusimama na neno la Mungu kwenye 2 Mambo ya Nyakati 7;14.. Mungu atakusikia Toka mbinguni na kuiponya nchi.
Kobazi tutavitia ukoma hivyo vidole utaisahau JFYupo kotekote, hadi kuombewa na makafir huku masheikh wakikuona ndgu yao katika imani akipotea.
π€£π€£π€£Hiyo inaitwa MIXX BY YAS.
amesahau kuwa yeye ni mlinzi macho lazima yawe wazi all timeKwa mara ya Kwanza namuona mpambe WA rais kafumba machoπππ