Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanatumia wanawake wazuri ili wasishtukiwe
Tamaa na mbio za mujini zitawamaliza hawa wanawake.
Sio vyote ving'aavyo ni dhahabu. Anyongwe tuutamu wote huu unaishia gerezani, du! huyu jamaa ndo karithi baada ya mpakanjia kutangulia mbele za haki.
Mzee biashara hii wakisha kuingiza hauruhusiwi kutoka. Ukilazimisha waweza kupoteza uhai. Nafikiri ndiyo maana wanawaita punda, kwani punda hana maamuzi isipokuwa boss wake.
Tumechoka au umechoka?
Acheni watu watafute maisha
hawa huwa hawakomi. akili zao sijui ziko sehem gani ya mwili. Pamoja na wote hawa kukamatwa bado kuna wengine wanapaki mzigo waanze safari. wengine tayar wapo airport na mzigo.
Dah huyu Dada nlikuwa natafuta namba yake siku nyingi nimwambie ya moyoni ndio basi tena<3
![]()
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-lugha/2830-~-and-~-kula-tunda-kwa-kuiba-~-and-~.html
Sasa huyu mbona yamini haikumshika!
ndiyo maana hizi hela ni za laana unapiga sana ila one day zero , si bora hata biashara ya nyanya zikioza unaweza hata ukawapa kuku na bata ukawa hujala hasara mifugo inashiba . ama kweli rahisi daima ina gharama kubwa