Madawa ya Kulevya: Mfanyabiashara Mharami Mohamed na wenzake 4 wakamatwa na kilo 7 za Heroin

Madawa ya Kulevya: Mfanyabiashara Mharami Mohamed na wenzake 4 wakamatwa na kilo 7 za Heroin

Wanadai ndugu wa jamaa aliyefanyiwa kitu mbaya ndo wamegmhangaika kuwachomea.

Nasikia simu za Chonja zilikuwa zinafuatiliwa na kusikilizwa na Polisi masaa 24...ndo wakawadaka.

Jua kua madon w sembe wengi soko lao sauz hpa ni transit tu tena wanasafirisha kwa barabara kwenda sauz mana safe kuliko ndege,istoshe chagonja nae walewale abdul yupo atamaliza huu msala tu cunajua mukulu analist yao kaikalia cz wpo wanasiasa,mawaziri,manabii we2 n muda w kampeni umefika ndio wafadhili we2 hao
 
udada wa mjiniiii....una mambo kweli ....na hivi siku hizi warembo wengi wanapenda wawe madada wa mjini........mbombo ngafu mmmh
 
WATU wanne akiwemo mkazi wa Magomeni
Mapipa, Muharami Abdallah maarufu kama
Chonji (44), wameburuzwa kortini kwa tuhuma
za kusafirisha dawa za kulevya zenye thamani
ya zaidi ya Sh milioni 281.
Mbali na Chonji, washitakiwa wengine ni
Abdul Chumbi (37), Rehamni Umande (45),
Tanaka Mwakasagule (35) na Maliki Maunda
(29).
Washitakiwa hao walifikishwa katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakiwa
chini ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi na
kusomewa mashitaka mbele ya Hakimu
Mkazi, Janeth Kaluyenda.
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Tumaini Kweka
alidai washitakiwa hao wanakabiliwa na
mashitaka mawili ya kusafirisha dawa za
kulevya aina mbili.
Ilidaiwa kuwa Oktoba 21 mwaka huu,
washitakiwa wakiwa eneo la Magomeni
Makanya ndani ya Wilaya ya Kinondoni
walikutwa wakijihusisha na biashara ya gramu
4547.49 za dawa za kulevya aina ya heroin,
zenye thamani ya Sh 227,374,500 huku
wakijua ni kinyume cha sheria.
 
Chonchi alikuwa na mbwembwe sana japo alikuwa anajua kuwasaidia watu sanaaa ndo mana ukienda daybreak ni kama kuna msiba lakini ngoma ikilia sana mwishowe hupasuka,issue ni kuwa alimfanyizia mtoto wa mkubwa mmoja wa jeshi aliyestaafu (nowadays ni balozi huko Asia) sasa mkubwa kaona isiwe tabu kaenda kuchonga na JK personally what follows u know it(ref Babu seya na wanawe) nasikia chonchi alijitutumua akamwambia kamanda nzowa atampa mil 200 amuache asepe nzowa akasema atampa mil 600 wasonge mbele za haki................hii nchi we acha tu
 
WATU wanne akiwemo mkazi wa Magomeni
Mapipa, Muharami Abdallah maarufu kama
Chonji (44), wameburuzwa kortini kwa tuhuma
za kusafirisha dawa za kulevya zenye thamani
ya zaidi ya Sh milioni 281.
Mbali na Chonji, washitakiwa wengine ni
Abdul Chumbi (37), Rehamni Umande (45),
Tanaka Mwakasagule (35) na Maliki Maunda
(29).
Washitakiwa hao walifikishwa katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakiwa
chini ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi na
kusomewa mashitaka mbele ya Hakimu
Mkazi, Janeth Kaluyenda.
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Tumaini Kweka
alidai washitakiwa hao wanakabiliwa na
mashitaka mawili ya kusafirisha dawa za
kulevya aina mbili.
Ilidaiwa kuwa Oktoba 21 mwaka huu,
washitakiwa wakiwa eneo la Magomeni
Makanya ndani ya Wilaya ya Kinondoni
walikutwa wakijihusisha na biashara ya gramu
4547.49 za dawa za kulevya aina ya heroin,
zenye thamani ya Sh 227,374,500 huku
wakijua ni kinyume cha sheria.

Mbona hii habar inanikatisha tamaa, kwa hiyo na mimi nitakamatwa kama wao??
 
yaan ni balaaa....magumu yanapokukuta sijui sura unaiweka wapi.......yeeelllewiiii....

Sasa hivi sijui ana hali gani huyo mwanamke...na hivi wanaonaga maisha wameshayapatia hata akiba hawaweki???
 
Kwa taarifa yenu wana jf !! Mkuu wa kaya yupo china rais wa china kampa pesa kibao sana kwa ajili ya miradi mbalimbali miongoni mwa masharti aliyompa ni kuangamiza kabisa wauza unga sasa mjiandee watakamatwa sana kipindi hiki mpaka jk anatoka madarakani, na wanapigwa sindano za sumu order kutoka china subirini au la mjisalimishe wenyewe !!!
 
Mbwembwe zote kwisha!! Mpaka sahv sijaona status za abdul wasApp wala insta!
 
mnumbwangu mkuu kwanini usianzishe uzi wako! ww huoni kama umeweka uzi ndani ya uzi mwingine! halafu inaonyesha una habari nzuri sana! embu ipandishe basi kabla sijakimbilia zangu r-chuga maana huku dar majanga
 
Last edited by a moderator:

Niambie Diva Beyoncé...upo poa ...nikweli kabisa vijana hawana uthubutu, wanataka shortcut ili waishi maisha mazuri haraka haraka

Nipo poa kabisa biyee sana wengi wa bongo wanapenda kuiga maisha ya kina kardashian maisha ya kitamthilia hawajui kuwa wao wanalipwa na show off character kwenye mitandaoni una kuta mdada anajifanya duu kazi haijulikani wala sources ya income kumbe ni sembe
 
Back
Top Bottom