Madazeni ya wapiganaji wa Brigedia ya Qassam Imejitokeza katikati ya Ghaza kwenye viwanja vya Mashujaa wa vita

Ni vigumu kuwaonea huruma wapuuzi kama hawa wanaojitakia safari ya haraka ya motoni kwenda kupewa magaidi 72 waliotangulia mbele ya haki kabla yao. Wacha wakajifie mbali huko, wamechoka kuishi kwa amani duniani wanataka kwenda kugombea mabikra 72 motoni, shetani ni muongo sana.
 
Unajuwa maana ya "shaheed"? Shaheed atake huruma ya nini?

Nimejibu nlichoulizwa, shaheed si ni wewe unayepotosha wenzio wajiue waende motoni kupewa mabikra walioshindikana hapa duniani
 
Huwaoni walivyojitokeza mitaani? Au ndiyo roho inakuuma hapo? Ulifikiri wamemalizwa kwa kubomolewa nyumba zao?
Hawana maana ya kujitokeza hadharani pasipo kuzuia mauaji ya raia wao.wanatakiwa kuwalinda wanancho wao dhidi ya mazayuni
 
Hao makomando vp, bado wamejitokeza hapo kwenye viwanja vya mashujaa ili kuwapokea makomando wenzao?
 
Leo hii Nizar Awadallah, unamfahamu huyu ni mojawapo wa waanzilishi wa Hamas, amepigwa chuma, wakapeleka hospitali akafa. sasaivi anaungua moto huko kuzimu anatamani angerudi awaambie kina FaizaFozy waachene na dini ya kiarabu uongo, dini ya baali. wayahudi wanauwa kiongozi mmoja baada ya mwingine na wanasema lazima wote waishe,wawe ndani au nje ya nchi. google huyo mfia dini mwenzio ona wameshaanza kuomboleza.
 
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu Mazayuni hawajaua Hamas hata mmoja
 
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu Mazayuni hawajaua Hamas hata mmoja
Hamas wameshatangaza, ila wewe na vyanzo vyako bado antena inatafutiza. nenda hata kwenye ukurasa wa Hamas wa AL QUD utaona wameshatangaza kwa machungu mno.
 
Hamas wameshatangaza, ila wewe na vyanzo vyako bado antena inatafutiza. nenda hata kwenye ukurasa wa Hamas wa AL QUD utaona wameshatangaza kwa machungu mno.
Wahurumie tu Mkuu,hata Hamas wa JF wamevurugwa na kipigo kizito
 
Leo Israel imetangaza kwamba, inataka kuweka pump kupump maji ya bahari kwenye ufukwe wa GAZA, yaende kwenye tunnels zote za Hamas ili hamas waogelee maji kwenye mahandaki yao. ulishawahi kuona naman panya anavyotoka shimoni akiona maji yanajaa kwenye shimo lake? soon wataanza kuokota mmoja mmoja.
 
Aiseee uongo uzeeni ni ugonjwa huo bibi

Jiulize wanaibukia wapi hawa vijana wanaowatia hasira mazayuni mpaka wanpiga hovyo kila nyumba kila shimo? Jionee, kikosi kingine kimeibuka, hicho ni kupigana mpaka kufa au ushindi, hakuna kati kwa kati:

Your browser is not able to display this video.
 
View attachment 2835108
Israel ilishaeleza kwamba hii vita kwao sio ya muda mfupi, ni vya muda mrefu, hivyo wote watakaoibuka watakuwa wanachinjwa mmoja baada ya mwingine. hatukatai wayahudi askari pia wanauawa sana ila wapo tayari kufa hadi HAMAS wateketezwe. si umeona namna walivyowakamata mamia ya mahamas na kuwavua nguo huko Gaza, kaangalie baba mkwe wako huko Gaza hana nguo wayahudi wanamrusha kuchura akiwa blind folded. hapo hamjasema, hadi mseme yote. mtapigwa hadi mseme sasa basi, ili wapalestina ambao sio magaidi waishi kwa amani.
 
Na hao wanaochinjwa unafikiri wameshika ruler?

Kuna kikundi kimeibuka huko, wakishika silaha jawaiweki chini mpaka wauliwe au wafe:

Watazame kazi yao chini hapo wanafunga kilemba cheusi tu hao:

Your browser is not able to display this video.
 
Na hao wanaochinjwa unafikiri wameshika ruler?

Kuna kikundi kimeibuka huko, wakishika silaha jawaiweki chini mpaka wauliwe au wafe:

Watazame kazi yao chini hapo wanafunga kilemba cheusi tu hao:

View attachment 2836368
Aisee hayo majamaa yenye vilemba vyeusi yanachinja mazayuni balaa.Yaani ni makomandoo mabobevu.Mungu bariki Palestina Mungu futa mazayuni.Tunayapa mazayuni wiki moja tuu.Yatakuwa yamemalizwa.
 
Aisee hayo majamaa yenye vilemba vyeusi yanachinja mazayuni balaa.Yaani ni makomandoo mabobevu.Mungu bariki Palestina Mungu futa mazayuni.Tunayapa mazayuni wiki moja tuu.Yatakuwa yamemalizwa.
Usijidanganye.

Hakuna Muislaam mwenye lengo hilo, hilo ni lengo la mazayuni.

Lengo la Waislam ni Wapalestina wajitawale wenyewe kwenye ardhi yao.

Kumbuka hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…