Madazeni ya wapiganaji wa Brigedia ya Qassam Imejitokeza katikati ya Ghaza kwenye viwanja vya Mashujaa wa vita

Na hao wanaochinjwa unafikiri wameshika ruler?

Kuna kikundi kimeibuka huko, wakishika silaha jawaiweki chini mpaka wauliwe au wafe:

Watazame kazi yao chini hapo wanafunga kilemba cheusi tu hao:

View attachment 2836368
Yap, ni kweli. israel wanauliwa wengi, na palestina wengi/hamas, but at the end of the day wengine watakuwa wameshida na wengine wameshindwa.ngoja tusubiri.
 
Yap, ni kweli. israel wanauliwa wengi, na palestina wengi/hamas, but at the end of the day wengine watakuwa wameshida na wengine wameshindwa.ngoja tusubiri.
Mpaka sasa hivi mshindi ni Mpalestina.
 
Faiza kwani hiyo ni vita?
 
Mtume Muhammad alikuwa Binadamu wa kawaida kabisa,kwanza alizaliwa Kama wewe, yaani alikuwa na Baba,pia alioa wanawake kibao, alikuwa mfanyabiashara tu aliyeanzisha Dini ya kiislamu ambayo imekuwa Hatari kwa usalama wa Dunia.
YESU alizaliwa na mwanamke Bikra,hakuwa na Baba kama wewe mimba yake iliingia kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, yaani nguvu ya Mungu,sasa nyie na huyo Mtume wenu hamna lolote zaidi ya Ugaidi.
Yesu aliponya wagonjwa,na hata sasa anaponya bado na atarudi, nyie Mtume wenu alifanya nini? YESU alikufa akafufuka, nyie Mtume wenu alikufa jumla , mmebaki kuua watu Eti mnatetea Uislamu, Eti ni Dini ya kweli.
Nani aliwadanganya kuwa Mungu ana Dini?
MUNGU ni Roho,hana dini.hizo Dini ni SACCOS tu za wanadamu.
 
Science wala Qur'an hazikubaliani na hilo la mtu kuzaliwa bila baba, nani alikufundisha hayo?
 
Propaganda ambazo hazina maana.Propaganda za kitoto sana.

Hakuna kitu kinaitwa Hamas kwa sasa.

So hii Ni kujibu ile ya mamia ya Hamas waliojisalimisha kwa Israel.

Kwamba bado Wana nguvu.

Hamas wamebaki kwenye mashimo km panya.
 
Mpaka sasa hivi mshindi ni Mpalestina.
oh hongereni sana kwa ushindi. sasa yale magofu mtaanza kujenga lini, na Israel amesema pale anataka kupasafisha na kuweka buffer zone, kwamba wapalestina wanatakiwa kwenda jangwa la sinai huko misri, mtafanyaje?
 
Usijidanganye.

Hakuna Muislaam mwenye lengo hilo, hilo ni lengo la mazayuni.

Lengo la Waislam ni Wapalestina wajitawale wenyewe kwenye ardhi yao.

Kumbuka hayo.
Mbona unanichanganya sasa,wewe si ndo umesema majamaa yanachinja kama yameshika rula jameni?
 
Basi saw
 
Wew ni mwarabu au unavaa dela tu na kujikrimu na vipodozi vya kongo? Na kuimba salama aleku
 
Mwehu wewe!
 
Wapewe chakula cha kuua kizazi la sivyo wataendelea kusumbua taifa teule
 

Mkenya nimekushangaa sana unashindwa kutofautisha propaganda na uhalisia.

Kumuuwa kamanda mmoja au hata kumi wa Hamas siyo kushinda mapambano.

Msikilize shujaa wa wa vita wa mazayuni, anaelezea uhalisia uko vipi kwenye mapambano:

Your browser is not able to display this video.
[/url]
 
Kichapo kimekukolea vha gaza...
Kusoma hujui...na hata picha huioni
 
Faiza wewe una matatizo ya akili...Yaani video ya hamas wanapeleka mateka kubadilishana ndio unasema maelfu ya wapiganaji 🤣🤣🤣🤣😂😂
Na hiyo square ipo majivu tu kabla ya hii video.....🤣🤣🤣Au unatufanya sisi majuha hatuwafuatilii habari za gaza..?????
Kweli kichapo kimekuchanganya wewe
 
Yaani video ya kubadilishana mateka eti madazeni,,,na hapo ni kusini mwa gaza karibiana na mpaka wa Rafah na sio center square ya hamas😂🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uwe na aibu bas kudanganya waandishi wa habari
 
"Maelfu" nimeandika wapi? Unaota?

Unafahamu kuwa jeshi la mazayuni ni jeshi pekee duniani linalovaa pampers?

wamejikuta wanajiharia hovyo kwa uoga mpaka wanavaa pampers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…