mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Timu ya Madeama haina chochote kiufundi, lakini hamasa yao ni kujaribu kuzidindia timu kubwa!! Nawalinganisha na Mashujaa wa Kigoma!! Yanga kesho washindwe wenyewe tu!! Kiufundi hamna timu pale zaidi ya jihad!!
Sitarajii mtu ajisifu kufunga kitimu hicho ambacho hata kwenye 30 bora ya Afrika hakimo!! Ila ukikilegezea kinakuadhibu!! Mkishinda hamna cha kujisifia!! Huwezi kujisifu kwa kumwangusha mlevi!! Mkitaka sifa mfungeni Al Ahly ya Misri!!
Nitakuwa wa kwanza kuwasifu, japo nyie mmetubania baada ya kukiangusha kigogo cha Afrika!! Ni nani asiyejua Wydad ni mmoja wa vigogo watatu wa Afrika? Al Ahly, Wydad, na Mamelod!!