GE2025 Madeleka: Uchaguzi unafanyika kwa haki, amani, uhuru na kuaminika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wakili Peter Madeleka amesema uchaguzi mkuu ni takwa la kikatiba linalofanyika kila baada ya miaka mitano, ambapo wananchi hupata nafasi ya kutumia mamlaka yao chini ya Ibara ya 8 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka na kuwaondoa wasiowataka.

“Takwa la kikatiba linatoa changamoto kwa waliopewa mamlaka ya kusimamia uchaguzi. Wamepewa jukumu la kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa haki, amani, uhuru na kuaminika, ili mtu akiutazama aone kweli unazingatia vigezo hivyo,” amesema Madeleka.

IMG-20250925-WA0046.jpg
 
Sikuwahi kudhani hata siku moja kuwa Madeleka atakuja kuwa clown namna hii. Yaani katika watu na wanasheria ambao nilikuwa nawaamini basi huyu alikuwa mmoja wapo.
 
Wakili Peter Madeleka amesema uchaguzi mkuu ni takwa la kikatiba linalofanyika kila baada ya miaka mitano, ambapo wananchi hupata nafasi ya kutumia mamlaka yao chini ya Ibara ya 8 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka na kuwaondoa wasiowataka.

“Takwa la kikatiba linatoa changamoto kwa waliopewa mamlaka ya kusimamia uchaguzi. Wamepewa jukumu la kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa haki, amani, uhuru na kuaminika, ili mtu akiutazama aone kweli unazingatia vigezo hivyo,” amesema Madeleka.

Screenshot_20250925_144300_Messages.jpg
 
Maskini ni Viumbe wapumbavu sana
 
Pamoja na aliyoyapitia Madereka it's very possible ni mtu wao. Ni mtu wa kitengo.
 
Back
Top Bottom