Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Labda mjamaa kaahidiwa jimbo, maana amejitoa akili kwa kiasi cha kushangaza wengi sanaSikuwahi kudhani hata siku moja kuwa Madeleka atakuja kuwa clown namna hii. Yaani katika watu na wanasheria ambao nilikuwa nawaamini basi huyu alikuwa mmoja wapo.
Binadamu sio wa kuwaamini sana, hasa wakiwa na njaaaSikuwahi kudhani hata siku moja kuwa Madeleka atakuja kuwa clown namna hii. Yaani katika watu na wanasheria ambao nilikuwa nawaamini basi huyu alikuwa mmoja wapo.
Wakili Peter Madeleka amesema uchaguzi mkuu ni takwa la kikatiba linalofanyika kila baada ya miaka mitano, ambapo wananchi hupata nafasi ya kutumia mamlaka yao chini ya Ibara ya 8 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka na kuwaondoa wasiowataka.
“Takwa la kikatiba linatoa changamoto kwa waliopewa mamlaka ya kusimamia uchaguzi. Wamepewa jukumu la kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa haki, amani, uhuru na kuaminika, ili mtu akiutazama aone kweli unazingatia vigezo hivyo,” amesema Madeleka.
Maskini ni Viumbe wapumbavu sanaWakili Peter Madeleka amesema uchaguzi mkuu ni takwa la kikatiba linalofanyika kila baada ya miaka mitano, ambapo wananchi hupata nafasi ya kutumia mamlaka yao chini ya Ibara ya 8 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka na kuwaondoa wasiowataka.