Mademu wa Kibongo wanaolewa sana na wazungu wazee

Mademu wa Kibongo wanaolewa sana na wazungu wazee

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Vitoto vya 2000 havina utani, akija mzungu kajichokea huko Ulaya wazungu wenzake wanamkataa anakuja kujibebea kitoto cha 2000 kirahisi

Mademu wanapenda wazungu hata kama akiwa na umri wa Babu yake yeye hajali
1754682837296.jpg
1754682736612.jpg
 
Ila huyo babu nae, sasa viatu vya kuchezea golf yeye anaingia navyo ukumbini, Lol.

Bidada kachungulia fursaa, kaona bora akale pension huko London. Kuliko hapa majimatitu.

Woiiiiih 😂😂😂😂😂😂
Ndio ujue hakuna maisha hapo. Bibie anatafuta tu pass ya kuenda nje kirahisi.
 
Back
Top Bottom