Mademu wa Kibongo wanaolewa sana na wazungu wazee

Mademu wa Kibongo wanaolewa sana na wazungu wazee

mademu wa kibongo wamejiripua sana, wananyia sana wazungu. sasa mzungu akishapta mtoto almost wa kimasai halafu anapewa TAKO asipagawe vipi, wanatangaza ndoa kabisa.
😂😂😂😂😂
 
mademu wa kibongo wamejiripua sana, wananyia sana wazungu. sasa mzungu akishapta mtoto almost wa kimasai halafu anapewa TAKO asipagawe vipi, wanatangaza ndoa kabisa.
Hata wanawake wa kizungu wazee wanakuja sana Africa kupata vijana wadogo kuwaridhisha kimapenzi...
 
Mzungu huwa anapaona Africa kama matakoni mwa Dunia
Yaani anajipa ubora wote
Hapo hata angetoka na kinjunga na mchungaji angefungisha ndoa
Haswaaaa!!! 😂😂😂😂
 
Ukitaka kuwaoa Wazungu wapo wengi tu wacha na wao wachukue dada zetu wewe ukitaka Mchina,Mzungu,Mhindi sijui kaburu ni chagu lako tu mazee life goes on..
 
Sawa ngoja nikipata wasaa nisogee Arusha nikawinde nyapu ya kizungu
Karibu zipo za kumwaga au njoo Cape Town ukiamua uondoke nayo kabisa pisi za kizungu hazins mambo mengi ila ni kuruka nazo nyoka tu ingawaje vichwa vya kazi vipo vingi pia..
 
Ila huyo babu nae, sasa viatu vya kuchezea golf yeye anaingia navyo ukumbini, Lol.

Bidada kachungulia fursaa, kaona bora akale pension huko London. Kuliko hapa majimatitu.

Woiiiiih 😂😂😂😂😂😂
Dah! Ulivionaje? 😂😂😂
 
Dolale ndo habari ya mjini handsome na beautifulness peleka TikTok na Tinder
 
Vitoto vya 2000 havina utani, akija mzungu kajichokea huko Ulaya wazungu wenzake wanamkataa anakuja kujibebea kitoto cha 2000 kirahisi

Mademu wanapenda wazungu hata kama akiwa na umri wa Babu yake yeye hajaliView attachment 3436262View attachment 3436263
Nyie vijana bongo si mnaogopa majukumu waache waolewe hata vijana wa kibongo wanaoa visibility vizungu pia vilivyokosa wazungu wenzao
 
Kwani mzee Mengi alikua mzungu?
Pesa ndizo zunaangaliwa,mbona kuna vijana wanatembea na wamama rika la bibi zao ili wapate hela na huwadhangai?
Pesa inavunja miiko mbalimbali.
 
Back
Top Bottom