Mademu wa Kibongo wanaolewa sana na wazungu wazee

Mademu wa Kibongo wanaolewa sana na wazungu wazee

Quid Pro Quo..., So long as kila mtu anapata anachotaka..., mwingine akija na ni muwekezaji lazima aoe raia hivyo anachukua mtu / a trophy wife..., mwingine hapo anataka umri mdogo na mwingine economic freedom....

Hata wewe ukienda huko, na pesa zako hautakosa mtu (ukizingatia till death do as apart inazidi kupitwa na wakati na its all about the now)
 
Vitoto vya 2000 havina utani, akija mzungu kajichokea huko Ulaya wazungu wenzake wanamkataa anakuja kujibebea kitoto cha 2000 kirahisi

Mademu wanapenda wazungu hata kama akiwa na umri wa Babu yake yeye hajaliView attachment 3436262View attachment 3436263
Mwisho wa siku wanawakatia bima na kuwaua na kuuza figo, moyo etc yaani viungo vya ndani ambavyo vina soko kubwa sana huko duniani. Fuatilieni wengi wamekufa vifo vya ajabu na hawa rudi kuzikwa kwao. Huu ni mradi wa siku nyingi mno!
 
ukienda Kiwengwa Nungwi au Paje ndio utaelewa watoto wakibongo walivyojizibua, Ila wataliano nao wanawazibua mitaro kisawasawa mpaka unaona wivu.
 
Nlihudhuria sherehe moja ya kiitaliano ilikua ni sikukuu yao ya kitaifa waliifanyia pale Oysterbay karibu na kwa Mo dewji, nlishuhudia dada zetu wengi wa kibongo wakiwa na vibabu vya kizungu
 
Mi natafuta wa kuzaa nae mmoja nataka katoto shombeshombe, huku mbeya wazungu adimu wamejaa wachina na sura zao kama nyau
 
Back
Top Bottom