Mademu wa Kibongo wanaolewa sana na wazungu wazee

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Vitoto vya 2000 havina utani, akija mzungu kajichokea huko Ulaya wazungu wenzake wanamkataa anakuja kujibebea kitoto cha 2000 kirahisi

Mademu wanapenda wazungu hata kama akiwa na umri wa Babu yake yeye hajali
 
Ila huyo babu nae, sasa viatu vya kuchezea golf yeye anaingia navyo ukumbini, Lol.

Bidada kachungulia fursaa, kaona bora akale pension huko London. Kuliko hapa majimatitu.

Woiiiiih πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio ujue hakuna maisha hapo. Bibie anatafuta tu pass ya kuenda nje kirahisi.
 
Ndio ujue hakuna maisha hapo. Bibie anatafuta tu pass ya kuenda nje kirahisi.
Bora hiyo, kuliko ya hawa vijana wako wa kimara, wao wenyewe maisha yao mchaka mchaka, wataweza na ya wake?

Acha bidada akafie huko Manchester.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila huyo babu nae, sasa viatu vya kuchezea golf yeye anaingia navyo ukumbini, Lol.

Bidada kachungulia fursaa, kaona bora akale pension huko London. Kuliko hapa majimatitu.

Woiiiiih πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wazungu wengi wanajali jinsi walivyo comfortable katika uvaaji sio wanavyoonekana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…