Yap huku nina makazi ya kudumu na Tanzania pia kamanda..Kumbe upogo bondeni mkuu?
π€£π€£π€£ Niache bhana πIla nyie mna yotuitaga mbwa pamoja na sura zenu za fatiki na titi zilizolala mnaoga poa tuu
Mwisho wa siku wanawakatia bima na kuwaua na kuuza figo, moyo etc yaani viungo vya ndani ambavyo vina soko kubwa sana huko duniani. Fuatilieni wengi wamekufa vifo vya ajabu na hawa rudi kuzikwa kwao. Huu ni mradi wa siku nyingi mno!Vitoto vya 2000 havina utani, akija mzungu kajichokea huko Ulaya wazungu wenzake wanamkataa anakuja kujibebea kitoto cha 2000 kirahisi
Mademu wanapenda wazungu hata kama akiwa na umri wa Babu yake yeye hajaliView attachment 3436262View attachment 3436263

Ni kukomaa tu hakuna namna kamanda.Hongera sana
Hapo uko good
Sisi ngoja tukomae hapa hapa Kwa Nyerere
Hiyo ni kwa upande wako, kwao sio lazimaHata km bhana, kuna event lazima iendane na dress code husika.
We Mzee acha hizo,Kahaba hanaga aibu.
ππππDah! Ulivionaje? πππ
Bas sawaaaHiyo ni kwa upande wako, kwao sio lazima
ππππMi natafuta wa kuzaa nae mmoja nataka katoto shombeshombe, huku mbeya wazungu adimu wamejaa wachina na sura zao kama nyau