Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 908
- 1,857
Washenzi sana ukipiga simu unakumbushwa deni 🤣Mjukuu umewahi kopeshwa na airtel wewe? Wana masimangooo🤣🤣🤣
Ukipiga simu tu kabla haijaita unakumbushwa deni lako🙆♂️🙆♂️
Nimekoma mimi dearMjukuu pesa sio kitu cha kunidai kabisa🤣🤣
Kila la kheriNatafuta mke mashart
1 awe anamiliki gari 2 za thamani
2 ghorofa 2+
3 Awe hajasoma na awe hana kazi yeyote
4 awe na shape no8
HV NITAPATA KWELI..?
Yaani unaweza hata sahau kama ulikuwa unapiga simu ukaishia kukata. Yaani ilimradi tu usiishi kwa amani🤣Washenzi sana ukipiga simu unakumbushwa deni 🤣
Kazana na kunidai nikuachie laana🤣Nimekoma mimi dear
Dawa ni kutokukopa🤣Yaani unaweza hata sahau kama ulikuwa unapiga simu ukaishia kukata. Yaani ilimradi tu usiishi kwa amani🤣
Baasiiiiii I'm outKazana na kunidai nikuachie laana🤣
Inabidi uonane nae live aibu mkuuUkiona Hadi umefikia level hiyo ujue Kuna baadhi ya taratibu umekiuka.
Dawa ya mtu anaekudau usimkie iwe bank,mtu au tataasisi yoyote ya mikopo
PikipikiLimewahi kukuta jambo?
Pole sana muhimu yamepitaPikipiki
Online business
Kuwaamini ndugu ndio kabisaa.
Unemface vizuri tunaenda kufikia muafuka mpya ikiwezekana ku restructure mkopo.Inabidi uonane nae live aibu mkuu
Yeah japo yameniachia kidonda kitakacho dumu kwa muda mrefu kidogo kwa sababu siku hizi siendi Bar,kwa mapusha n.kPole sana muhimu yamepita
Kumbe asante mkuuUnemface vizuri tunaenda kufikia muafuka mpya ikiwezekana ku restructure mkopo.
Waidaji hawana shida enda utakua unawaface usimpe nafasi ya yeye kukutafuta hapo ndio ugomvi Huwa unaanza
Pole bro 🫂Yeah japo yameniachia kidonda kitakacho dumu kwa muda mrefu kidogo kwa sababu siku hizi siendi Bar,kwa mapusha n.k
KaribuNtarudi
Asante sana sister japo nimegundua my greatest is not in never falling ila in rising every time i fall.Pole bro 🫂
Nilikopa Kwa kutegemea mshahara,ukachelewa SI simu hizo,wakanifuata Hadi Ofisini!Ilikuaje mkuu😃