shila 68
JF-Expert Member
- Jul 11, 2026
- 860
- 1,703
Kifo ni kifo
Kifo ni kifo
Ndio aftatu😎Aftatu au sio?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Shenziii wewe😅
Ee🤣🤣🤣🤣🤣,imeisha hiyo.Unamwambia nijumlishie ntakupa yote jumla😂😂😂🙌
Hubadili njia na kilakitu kinakuwa fresh.Shida siyo kudaiwa tu, shida ni unadaiwa na nani?
Mimi roho yangu ni ndogo sana Hata nikidaiwa 50,000 tu siwezi kulala usingizi mpaka nilipe
Nakosa amani kabisa
Twende kwenye mada
Madeni yanaweza kumharibu na kumuathiri mdaiwa kwa kiwango kikubwa kuliko tunavyofikiria, hasa pale anapogundua uwezo wake wa kulipa umekuwa mdogo
Hali inakuwa mbaya zaidi kama anaanza kupokea presha kutoka kwa anayemdai
Yaani kuna watu wanadai vibaya 🤣
Baadhi ya madhara ambayo mdaiwa anaweza kuyapata ni:
Kukosa utulivu
Kila akikumbuka ana deni, mood inabadilika
Kutumia muda mwingi kuwaza namna ya kulipa deni, mpaka anapata msongo wa mawazo na kushindwa kuzingatia mambo mengine
Kuwa na hasira za hapa na pale bila sababu
Kukosa hamu ya tendo la ndoa, au hata mkiwa katikati ya tendo, mood inakata... babu analala yoo! 🤣 Kwa mwanamke pia inaweza kusababisha ukavu
Kuogopa kupokea simu, hasa namba usizozijua
Mwisho wa siku unaweza ukaacha kupokea simu muhimu yenye dili zuri kwa sababu ya hofu
Kukosa uhuru wa kutembea kwa kuogopa kukutana na anayekudai
Na mara nyingi mtu akiwa na deni huwa mnyonge sana
Halafu kuna watu wanajua kudai vibaya sana! 🤣
Kwa hiyo, kama huna ulazima mkubwa, usikope pesa za watu
Na ukilazimika kukopa, basi iwe ni kwa jambo la msingi na ukiwa huna njia nyingine
Je, wewe umewahi kukopa pesa za watu zikataka kukutokea puani?
Ukakosa amani na kujuta?
Baada ya hapo uliendelea kukopa, au ulikula kiapo kwamba hurudii tena?
Ongezea pia ni madhara gani mengine ya kihisia anayoweza kuyapata mdaiwa hasa pale anapogundua kua hana uwezo wa kulipa kwa wakati huo
ShesRise_1 ✋️
Sawa Mkuu asante sanaHubadili njia na kilakitu kinakuwa fresh.
Wengine wamesamehe lakini dini yangu inasema kulipa deni ni wajibu wangu.Aiseee miaka 17 si watakua wamesamehe tena
Sawa mkuuWengine wamesamehe lakini dini yangu inasema kulipa deni ni wajibu wangu.
AiseeeNina mkopo hapa nahisi kwenye umri wangu imeongezeka miaka 5
Fanya juhudi mwisho wa mwezi umalize hivyo kipengeleNa Vimeo mpaka nikijiangalia sura kwenye kioo naiona imepauka halafu imekuwa kama mkamusi.Na vyote vinategemea mshahara wa mwezi huu.Ni kubaya aisee😀😀😀
Haiwezekani na jogoo hafi Kwa utitiri.Fanya juhudi mwisho wa mwezi umalize hivyo kipengele
HayaHaiwezekani na jogoo hafi Kwa utitiri.
😭😭😭 najutaaaMwe mwe mweeeh! Mie silipagi madeni, nikopeshe at your own risk 🤣🤣🤣
Mjukuu umewahi kopeshwa na airtel wewe? Wana masimangooo🤣🤣🤣Shida siyo kudaiwa tu, shida ni unadaiwa na nani?
Mimi roho yangu ni ndogo sana Hata nikidaiwa 50,000 tu siwezi kulala usingizi mpaka nilipe
Nakosa amani kabisa
Twende kwenye mada
Madeni yanaweza kumharibu na kumuathiri mdaiwa kwa kiwango kikubwa kuliko tunavyofikiria, hasa pale anapogundua uwezo wake wa kulipa umekuwa mdogo
Hali inakuwa mbaya zaidi kama anaanza kupokea presha kutoka kwa anayemdai
Yaani kuna watu wanadai vibaya 🤣
Baadhi ya madhara ambayo mdaiwa anaweza kuyapata ni:
Kukosa utulivu
Kila akikumbuka ana deni, mood inabadilika
Kutumia muda mwingi kuwaza namna ya kulipa deni, mpaka anapata msongo wa mawazo na kushindwa kuzingatia mambo mengine
Kuwa na hasira za hapa na pale bila sababu
Kukosa hamu ya tendo la ndoa, au hata mkiwa katikati ya tendo, mood inakata... babu analala yoo! 🤣 Kwa mwanamke pia inaweza kusababisha ukavu
Kuogopa kupokea simu, hasa namba usizozijua
Mwisho wa siku unaweza ukaacha kupokea simu muhimu yenye dili zuri kwa sababu ya hofu
Kukosa uhuru wa kutembea kwa kuogopa kukutana na anayekudai
Na mara nyingi mtu akiwa na deni huwa mnyonge sana
Halafu kuna watu wanajua kudai vibaya sana! 🤣
Kwa hiyo, kama huna ulazima mkubwa, usikope pesa za watu
Na ukilazimika kukopa, basi iwe ni kwa jambo la msingi na ukiwa huna njia nyingine
Je, wewe umewahi kukopa pesa za watu zikataka kukutokea puani?
Ukakosa amani na kujuta?
Baada ya hapo uliendelea kukopa, au ulikula kiapo kwamba hurudii tena?
Ongezea pia ni madhara gani mengine ya kihisia anayoweza kuyapata mdaiwa hasa pale anapogundua kua hana uwezo wa kulipa kwa wakati huo
ShesRise_1 ✋️
Mjukuu pesa sio kitu cha kunidai kabisa🤣🤣😭😭😭 najutaaa