Madeni: Je, umewahi kudaiwa mpaka ukajuta kwanini ulikopa?

Madeni: Je, umewahi kudaiwa mpaka ukajuta kwanini ulikopa?

Mtu mpka anakuambia hivyo ujue kwakwama na tumaini lingine hana

Kuna stuation hua ngumu sana mtu anakosa option so wewe kama udhani hauna msaada kwa wakati huo mwambie hapo hapo usimpe matumaini fake
sio kwamba sina ila muda anaotaka kulipa ndo nashindwa kumpatia mimi nshamwambia sina kitu mzee, basi ndo kakomaa mpk dakika hii keshanicheki
 
Back
Top Bottom