Madeni: Je, umewahi kudaiwa mpaka ukajuta kwanini ulikopa?

Kuna kukwama ujue hakuna anaependa kudaiwa
Wale wamba hawaelewi kikubwa boss aone graph zinasoma hela imetoka na imerejeshwa siku zilizokubaliwa basi .

Ila wale nao uwa wanakutana na miamba mingine iliyobobea kwenye madeni unaweza kuwaonea huruma wewe maana jamaa unakuta ana namba mpaka ya mkuu wa mkoa ,mkimtisha hatishiki ,mkimgusa haoni shida kugusa kwa RPC basi unakuta wamba wa kausha blood wanakuwa kama kuku mwenye kideli hawana ujanja maana wakilianzisha mwamba analimaliza ni mwendo wa ahadi hewa tu
 
Rafiki yangu mmoja ni ticha wa primary alikopa laki .ila mambo yakamwendea kombo ikabidi asubiri mshahara kuwalipa .
Kila wakienda kwake anawakimbia na kujificha ,siku wakaamua wamfuate shuleni alipowaona na kagari kao akaona cha kufia nini ?
Mungu angu 😅😅 kama namuona
Akaunga mbio kwa mkuu wake wa shule kuomba msaqda kabla heshima yake haijanyoloshwa ,kila nikimkumbusha anasema hawezi kurudia kukopa kabisa maana wale jamaa ni kama wamesomea kudai maana kuna muda walikuwa wanamuiwinda mpaka bar tunafanya kumficha
Mnaficha bar badala mmlipie loh
 
Rafiki yangu mmoja ni ticha wa primary alikopa laki .ila mambo yakamwendea kombo ikabidi asubiri mshahara kuwalipa .
Kila wakienda kwake anawakimbia na kujificha ,siku wakaamua wamfuate shuleni alipowaona na kagari kao akaona cha kufia nini ?

Akaunga mbio kwa mkuu wake wa shule kuomba msaqda kabla heshima yake haijanyoloshwa ,kila nikimkumbusha anasema hawezi kurudia kukopa kabisa maana wale jamaa ni kama wamesomea kudai maana kuna muda walikuwa wanamuiwinda mpaka bar tunafanya kumficha
Kuna member mmoja humu JF aliweka tangazo la kutafuta "vijana wa kazi" kwa ajili ya kudai madeni.Kwa hiyo, kila nikiona mitaani watu wanavyosensemwa malunde namkumbuka member yule na kundi lake la "mbwa mwitu"!
 
Wale wamba hawaelewi kikubwa boss aone graph zinasoma hela imetoka na imerejeshwa siku zilizokubaliwa basi .

Ila wale nao uwa wanakutana na miamba mingine iliyobobea kwenye madeni unaweza kuwaonea huruma wewe maana jamaa unakuta ana namba mpaka ya mkuu wa mkoa ,mkimtisha hatishiki ,mkimgusa haoni shida kugusa kwa RPC basi unakuta wamba wa kausha blood wanakuwa kama kuku mwenye kideli hawana ujanja maana wakilianzisha mwamba analimaliza ni mwendo wa ahadi hewa tu
Hii ndio kila mbabe ana kiboko yake
Ila madeni hapana
 
Kuna member mmoja humu JF aliweka tangazo la kutafuta "vijana wa kazi" kwa ajili ya kudai madeni.Kwa hiyo, kila nikiona mitaani watu wanavyosensemwa malunde namkymbuka member yule na kundi lake la "mbwa mwitu"!
Hata mimi niliona na alitaka watu wenye uwezo wa kudai bila huruma
 
Utamlipia mtu anayewalipia pombe bar ,ukimkumbusha deni anakuwa mkali ?

Anasema hela yao iliingia kwenye mzunguko tofauti hivyo ameshindwa kuwalipa wasubiri mshahara maana tunayolewa nayo ni ya mzunguko mwingine .
Cheza na maticha wewe 🙌
Serious ?et hela iliingia kwenye mzunguko mwingine jamani😅🙌
 
Melo anakulipa hapa JF?
Mbona umegeuza JF full time job.

Au JF wanalipa kwa engagements na sijui?
Kimbizana na mada, achana na mleta mada.
Huyu anaweza kuwa ni mmojawapo wa MODERATOR ameamua kuja na ID tofauti ili na yeye atumie haki yake ya kutoa maoni kama mwananchi mwingine.
Maisha ya mtu ni sawa njia za panya...vichochoro kibao! Ukikimbizana nayo utapoteza muda wako bure.
Bora tu ubaki na yako, ya wengine waachie wenyewe.
 
Serious ?et hela iliingia kwenye mzunguko mwingine jamani😅🙌
Watu wana mipango kweli kweli mjini ,unadaiwa laki ,unakunywa laki na nusu ila ana msimamo kuwa hiyo hela imetokea kwenye mzunguko tofauti na ule wa hela aliyokopa hivyo hawezi jinyima raha kisa wao ,anaongea tena kwa msimamo ila wakija sasa anatia huruma kweli kweli .

Mara kaa mbele nainama nyuma yako ,mara simama tembea mbele yangu tutoke nje niingie kwenye gari mpaka waondoke .

Mnamsaidia baada ya hapo inabidi tubaki kucheka tu maana boss ana vituko kweli kweli
 
Kimbizana na mada, achana na mleta mada.
Huyu anaweza kuwa ni mmojawapo wa MODERATOR ameamua kuja na ID tofauti ili na yeye atumie haki yake ya kutoa maoni kama mwananchi mwingine.
Maisha ya mtu ni sawa njia za panya...vichochoro kibao! Ukikimbizana nayo utapoteza muda wako bure.
Bora tu ubaki na yako, ya wengine waachie wenyewe.
Mkuu nimecheka alooo
Mie nipo zangu tandahimba huku ndani ndani naona JF ni kijiwe kizuri kuliko kijiwe cha mtaani😊
 
Watu wana mipango kweli kweli mjini ,unadaiwa laki ,unakunywa laki na nusu ila ana msimamo kuwa hiyo hela imetokea kwenye mzunguko tofauti na ule wa hela aliyokopa hivyo hawezi jinyima raha kisa wao ,anaongea tena kwa msimamo ila wakija sasa anatia huruma kweli kweli .

Mara kaa mbele nainama nyuma yako ,mara simama tembea mbele yangu tutoke nje niingie kwenye gari mpaka waondoke .

Mnamsaidia baada ya hapo inabidi tubaki kucheka tu maana boss ana vituko kweli kweli
Dah jamaa ana tatizo la ubishi 😅
 
Back
Top Bottom