Madeni: Je, umewahi kudaiwa mpaka ukajuta kwanini ulikopa?

Madeni: Je, umewahi kudaiwa mpaka ukajuta kwanini ulikopa?

Sasa tumekopeshana hela vilabuni ,wewe unakuja kunidai nyumbani kwangu si dharau hizo na simu zangu unazo ,hapana unakuwa umenidharau sana .
Piga simu nikupange ,ili utulie nikutafutie shilingi yako nikupe ila na sio yenyewe sio kila mara utanikwaza kabisa
Dawa ya deni kulipa wa kwetu
Sasa kama kilabuni umekimbia atakupata wapi🤣🤣
 
Rafiki yangu alikua ameishika hela kwa madoido kila anayepita anaiona.
Mwanamke akaniambia nimpeleke ofisi ya mwalimu mkuu nikaenda, pale akabaki rafiki yangu na mwanaume.

Kwa M/mkuu hata hatukufika rafiki yangu akaja akasema yule mwanaume kasema turudi wameghairi kuonana na M/mkuu.
Tuliporudi pale dukani hatukumkuta mtu.

Yule mwanamke akasema tusubiri pale dukani akamtafute yule kaka, tukasubiri hawarudi ndo nikaikumbuka hela yangu nikamuuliza rafiki yangu hela ipo wapi,
Akaniambia yule mwanaume alimwambia amshikie ili asiipoteze wakati anatufuata kuturudisha tusiende kwa mwalimu mkuu.

Tulisubiri hawakurudi, hela ikawa imeenda hivyo.
Ama kweli mlikuwa nyumbu😂😂
Ila sawa maana mm nilishawahi kuchomolewa Nokia yangu jijini mwanza tena kwa wasukuma kabisa Daah sitasahau.
 
Alipe kidogo kidogo aje ?
Atauweza mziki wa kudaiwa ? Maana kuna muda simu itapigwa saa tisa usiku kukumbushwa rejesho la kesho yake ,sasa ole wake ajibu shit ,asubuhi kirikuu kipo mlangoni kubeba vyombo vya ndani
Mi nacheka tu simu sa 9 usiku kukumbusha rejesho🤣 kwani si anajua kua anadaiwa jamani
naa utaweza
 
Mimi nilishawahi daiwa mkopo wa mtu niliye mdhamini, nilijuta wanadai vibaya,wanakutishia hadi kero.Ilibidi niingie gharama za kukubali kulipa ndo wakawa wapole maana mwanzo nilikuwa mbishi.

Ila nimejifunza kumdhamini mtu hata awe nani sitaki.
 
Back
Top Bottom