Madeni: Je, umewahi kudaiwa mpaka ukajuta kwanini ulikopa?

Madeni: Je, umewahi kudaiwa mpaka ukajuta kwanini ulikopa?

Ye ndio microfinance yangu atafanyaje sasa😂😂,. Asiponidai namlipa ila akijifanya kukumbusha kumbusha ndio inakula kwake😂
Umempata shost dada angu mume wake alienda SA dada sijui ilikuaje akatumia 800k bila kumshirikisha akijua atairudisha

Shemeji si akasema anarudi 😀
na hapo dada kajikopa kama leo

Aisee alikua na presha maana mwanaume hataki mchezo na hela yake kabisa🤣🤣🤣

Na alivyofika akakuta ipo 500k aliongea sana imagine angekuta 800k yote imepungu sipati picha
 
Uzuri Mie huwa namuomba anikopeshe na ananipa mwenyewe,.
Hiyo ya kujichukulia bila taarifa ni mbaya... Huwezi jua mtu keshaipigia hesabu zake lazima awe mkali
 
Uzuri Mie huwa namuomba anikopeshe na ananipa mwenyewe,.
Hiyo ya kujichukulia bila taarifa ni mbaya... Huwezi jua mtu keshaipigia hesabu zake lazima awe mkali
Exactly dear kuomba na kupewa na muhusika sio sawa na kujichukilia tu
Ila tulikoma aisee maana alituambukiza na sisi stress zake😅
 
Kama unakopesha ukipata muda wakopeshe walimu na watendaji wa vijiji na kata na wale ma clinical wa vijijini wanaojiiita MaMD nadhani utarudi kusema kuwa kuna watu hawaogopi deni na ukicheza vibaya anakufungulia kesi ya unyanyasaji .

Kwa leo sitaki kuzungumza lolote kuhusu mapot ila mbingu hawaioni ng'o
 
Au Tu unapiga hesabu unahakikisha deni linabaki dogo😂😂,. Juzi kwenye 4.8m+ alijikuta anapewa af30 ilaa🙌🙌😂😂View attachment 3630978
🤣🤣🤣🤣🤣,jamani mkaka wa watu Hana maneno, ye anasema nipe tu🤣🤣🙌
 
Stress lazima apate,.
Laki3 ya haraka haraka unaipata wapi mtu amekustukiza😂
Ilikua 800k so hapo akapambana ndio kupata hiyo 500k
300k ikakosekana sizani kama atarudia tena ile wiki mume wake anarudi alikua anaamka usiku ana swali analiaa 🤣🤣🙌
 
Una experience wa kwetu?🤣🤣

Naomba mkopo😎
Nina experience kubwa na hayo mambo japo kudai sijui ila uwoga na deni sina ukija kunidai kuwa mnyenyekevu ukija vibaya basi umeumia .

Ni zamani wa kwetu ,sasa cha mtu sikopi sababu sipendi kusumbuana ila niliwahi kopa hela huko kijijini nilikokusimulia kuwa niweahi kuwa meneja wa msanii ili nvune kahawa yakatokea manjegeka ,walinisumbua ila ubabe ukaniokoq na wale wanakijiji wa CPU bila hivyo wangenitangaza nchi nzima walevi wenzangu wale
 
Nina experience kubwa na hayo mambo japo kudai sijui ila uwoga na deni sina ukija kunidai kuwa mnyenyekevu ukija vibaya basi umeumia .
Acha ubabe shenzii
Ni zamani wa kwetu ,sasa cha mtu sikopi sababu sipendi kusumbuana ila niliwahi kopa hela huko kijijini nilikokusimulia kuwa niweahi kuwa meneja wa msanii ili nvune kahawa yakatokea manjegeka ,walinisumbua ila ubabe ukaniokoq na wale wanakijiji wa CPU bila hivyo wangenitangaza nchi nzima walevi wenzangu wale
Nakumbuka ile story lol 🤣🤣
Ila meneja hapana wewe dah😆
 
Acha ubabe shenzii

Nakumbuka ile story lol 🤣🤣
Ila meneja hapana wewe dah😆
Sasa tumekopeshana hela vilabuni ,wewe unakuja kunidai nyumbani kwangu si dharau hizo na simu zangu unazo ,hapana unakuwa umenidharau sana .
Piga simu nikupange ,ili utulie nikutafutie shilingi yako nikupe ila na sio yenyewe sio kila mara utanikwaza kabisa
 
Nishamwambia na ukweli anaujua basi anajua ukiwa posta una hela, toka jpl ananipgia mpk leo anasema tumaini langu ni wewe nkamjbu okay ko jion hii atanichek tuu
Mtu mpka anakuambia hivyo ujue kwakwama na tumaini lingine hana

Kuna stuation hua ngumu sana mtu anakosa option so wewe kama udhani hauna msaada kwa wakati huo mwambie hapo hapo usimpe matumaini fake
 
Back
Top Bottom