Madeni: Je, umewahi kudaiwa mpaka ukajuta kwanini ulikopa?

Madeni: Je, umewahi kudaiwa mpaka ukajuta kwanini ulikopa?

Deni moja Tu japo nililipa but it took me a year to healšŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚,.

Kuna watu wanadai vibaya
Watanzania sio walipa madeni. Mtu anadaiwa halipi kwa muda kama makubaliano yanavyotaka, mwisho wa siku ndio kauli hizi kuna watu wanadai vibaya na wengine utasikia hela yenyewe laki tu unanisumbua utafikiri nini! Sio kwa watu binafsi sio kwa taasisi za fedha kote huko kuna madeni sugu yasiyolipwa na wadaiwa utawakuta mitaani wakijisifu kutokulipa taasisi au watu fulani. Ndio maana riba za mabenki ziko juu na hatuna finance system ya kueleweka kusaidia watu kwenye maendeleo.
 
Back
Top Bottom