Madeni: Je, umewahi kudaiwa mpaka ukajuta kwanini ulikopa?

Madeni: Je, umewahi kudaiwa mpaka ukajuta kwanini ulikopa?

Ndugu mdau,
huenda uzi huu umegusa 100% ya wadau wa Jf, na kwamba mpaka unapost uzi huu kuna wadau wana madeni ya kwenye simu labda amekopa muda wa maongezi, data au pesa kwenye mtandao husika na yupo analitumia hivi sasa jukwaani, na hii inaweza kua hadi 90% ya wadau wameshawahi kupitia madeni haya, mpaka inafikia mdau moja anamwambia mwenzake anaetaka kumtumia pesa asitume kwenye namba hii coz ina changamoto kidogo, ntakupatia namba nyingine, kumbe changamoto ya hiyo namba ni deni la muda wa maongezi, mb au pesa na mtandao husika.
Dah 😅 et usitume kwa namba hii ina changamoto nimecheka mnoo
madeni mengine ya fedheha ni haya ya kausha damu daily au weekly. madeni haya yanawaotesha sana watu vipara na vigimbi maana yanakimbiza watu mchakamchaka wa kiwango kibaya sana.
Dah vigimbi tena vipara😅😅
Na wengi wenye madeni haya hua na stress hatari zaidi na kuwasababishia utamaduni wa kukosa hamu ya kula, hamu ya tendo la ndoa na kwakweli kukosa usingizi kabisa, na kumfanya mdaiwa kua kwenye hatari ya kupata changamoto ya afya ya akili.
Inasikitisha aisee 🥹
madeni mengine ambayo nayo ni ya fedheha lakini yana staha kiasi ikiwa mdaiwa atajisalimisha kwa mkopeshaji mapema ni pamoja na madeni ya kwenye vikoba, saccoss au kwenye mabenki.
Athari za madeni ya kwenye units hizi humuathri na kumfedhehesha sio tu mkopaji bali pia huifedhehesha familia na pengine kubadili kabisa maisha ya familia husika. Ni madeni ambayo husababisha changamoto za moyo, mstuko wa moyo na pengine hata kupoteza makazi au kupoteza maisha ikiwa hazitachukuliwa tahadhari za mapema.
Aiseee hii mbaya sana Gentleman duh
In fact ni vizuri kukopa ikiwa una malengo, nia na umejizatiti kusonga mbele kiuchumi. Na kwasababu hiyo kukopa hakuepukiki katika kujinasua na unyonge wa kiuchumi.

kopa kistaarabu kuepuka fedheha na athari mseto za madeni physically and mentally.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Exactly Gentleman hapa umekuja kama mshauri nasaha👏👏🐒
 
nilipomalizaga tu Form six nikapata kazi ya kuwa nakopesha watu kwenye kampuni flani ya mikopo. ule uzoefu wa kukopesha na kuanza kudai marejesho na ule usumbufu na kadhia nilijikuta tu nachukia kukopa. Mungu akanisaidia nikajikuta nina marafiki ambao hata nikiwa nimetigwa tunaazimana pesa bila hata kujieleza utarudisha lini .
Hongera kwa marafiki wazuri
 
Dah 😅 et usitume kwa namba hii ina changamoto nimecheka mnoo

Dah vigimbi tena vipara😅😅

Inasikitisha aisee 🥹

Aiseee hii mbaya sana Gentleman duh

Exactly Gentleman hapa umekuja kama mshauri nasaha👏👏🐒
Yes ndugu mdau,
binafsi ni mtu wa kuelezea ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu tena bila kificho wala kupepesa macho.

unaishi wap ndugu mdau, japo sio muhimu sana?🐒
 
Mie naogopa madeni so mara nyingi hua sikopi ikitokea nimekopa nitajinyima kwa namna yoyote nilipe
Yes,
hiyo ndio haswa inapaswa kua tabia na nidhamu ya mkopaji yoyote ile. Kujinyima na kujitoa bila kujibakiza katika kutimiza malengo uliojiwekea kwa kutumia mkopo huo.

And for sure, you will make it 🐒
 
Yes,
hiyo ndio haswa inapaswa kua tabia na nidhamu ya mkopaji yoyote ile. Kujinyima na kujitoa bila kujibakiza katika kutimiza malengo uliojiwekea kwa kutumia mkopo huo.

And for sure, you will make it 🐒
Naomba mkopo ili nithibishe nidhamu yangu ya kulipa kwa wakati bila kupepesa macho 🐒
 
Back
Top Bottom