ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #301
Naamini utaendelea kuinuka kila wakati Usiache kujiamini, safari bado inaendelea🌹Asante sana sister japo nimegundua my greatest is not in never falling ila in rising every time i fall.
Aibu jamani dah poleNilikopa Kwa kutegemea mshahara,ukachelewa SI simu hizo,wakanifuata Hadi Ofisini!
AhsanteAibu jamani dah pole
Asante sana dada Mungu akubariki na kukuzidishia kwa matumaini unayonipatiaNaamini utaendelea kuinuka kila wakati Usiache kujiamini, safari bado inaendelea🌹
♥️Asante sana dada Mungu akubariki na kukuzidishia kwa matumaini unayonipatia
Nchi yenyewe inadaiwa, mimi ni nani mjukuu🤣🤣Dawa ni kutokukopa🤣
Gudubaiiiiii🤣🤣Baasiiiiii I'm out
Mhaini weweNchi yenyewe inadaiwa, mimi ni nani mjukuu🤣🤣
😃Kwenye simu apige mpaka nipatikane sio kufuatana majumbani ,mwisho apewe kesi ya mauwaji maana sikawii kuzimia mimi sipendi kabisa zogo
Ngoja nitafute kausha damu iokoe jahazi🤣🤣Mhaini wewe
Hawachekeshi wale ohoooNgoja nitafute kausha damu iokoe jahazi🤣🤣
Nitamsakazia babu yako🤣Hawachekeshi wale ohooo
Safi una akili sana, Mungu akulindeJambo jema kutolipa deni huo nao ni wizi tu
🤣🤣 niachie babu yanguNitamsakazia babu yako🤣
Amen 😊Safi una akili sana, Mungu akulinde
AbeeShesRise_1
Bless
Nakusalimu usiku huu upo macho dadaAbee
Nipo macho kaka nalinda JF 🤣🤣Nakusalimu usiku huu upo macho dada