Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Nyani haoni.........Wewe mbona unachekagachekaga na hatukusemi?
Au unafkiri hatujui michezo yako michafu ya kupenda kufanyiwa michezo ya liwati.
Wallahi kinondoni sio sehemu salama kwa watoto wa kiume laini laini kama wewe.
Lazima wakugeuze shoga tu
View attachment 3630861
Nakuambia nibebe.We dada mtu anataka hela yale unasema anakukosesha amani
Tutachukua hiyo simu mpka ulete pesa
Aisee.Nadaiwa ila wanaodaiwa nawaonea huruma sana.... Hapa nilipo nimkopeee mtu pesa, Kisha nami nimkopeshe hata selewi na nshamwambia sina hela.....anavyopiga simu mpka nakosa amani
Dah 😅 et usitume kwa namba hii ina changamoto nimecheka mnooNdugu mdau,
huenda uzi huu umegusa 100% ya wadau wa Jf, na kwamba mpaka unapost uzi huu kuna wadau wana madeni ya kwenye simu labda amekopa muda wa maongezi, data au pesa kwenye mtandao husika na yupo analitumia hivi sasa jukwaani, na hii inaweza kua hadi 90% ya wadau wameshawahi kupitia madeni haya, mpaka inafikia mdau moja anamwambia mwenzake anaetaka kumtumia pesa asitume kwenye namba hii coz ina changamoto kidogo, ntakupatia namba nyingine, kumbe changamoto ya hiyo namba ni deni la muda wa maongezi, mb au pesa na mtandao husika.
Dah vigimbi tena vipara😅😅madeni mengine ya fedheha ni haya ya kausha damu daily au weekly. madeni haya yanawaotesha sana watu vipara na vigimbi maana yanakimbiza watu mchakamchaka wa kiwango kibaya sana.
Inasikitisha aisee 🥹Na wengi wenye madeni haya hua na stress hatari zaidi na kuwasababishia utamaduni wa kukosa hamu ya kula, hamu ya tendo la ndoa na kwakweli kukosa usingizi kabisa, na kumfanya mdaiwa kua kwenye hatari ya kupata changamoto ya afya ya akili.
Aiseee hii mbaya sana Gentleman duhmadeni mengine ambayo nayo ni ya fedheha lakini yana staha kiasi ikiwa mdaiwa atajisalimisha kwa mkopeshaji mapema ni pamoja na madeni ya kwenye vikoba, saccoss au kwenye mabenki.
Athari za madeni ya kwenye units hizi humuathri na kumfedhehesha sio tu mkopaji bali pia huifedhehesha familia na pengine kubadili kabisa maisha ya familia husika. Ni madeni ambayo husababisha changamoto za moyo, mstuko wa moyo na pengine hata kupoteza makazi au kupoteza maisha ikiwa hazitachukuliwa tahadhari za mapema.
Exactly Gentleman hapa umekuja kama mshauri nasaha👏👏🐒In fact ni vizuri kukopa ikiwa una malengo, nia na umejizatiti kusonga mbele kiuchumi. Na kwasababu hiyo kukopa hakuepukiki katika kujinasua na unyonge wa kiuchumi.
kopa kistaarabu kuepuka fedheha na athari mseto za madeni physically and mentally.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Hongera kwa marafiki wazurinilipomalizaga tu Form six nikapata kazi ya kuwa nakopesha watu kwenye kampuni flani ya mikopo. ule uzoefu wa kukopesha na kuanza kudai marejesho na ule usumbufu na kadhia nilijikuta tu nachukia kukopa. Mungu akanisaidia nikajikuta nina marafiki ambao hata nikiwa nimetigwa tunaazimana pesa bila hata kujieleza utarudisha lini .
Sawa 😊Bichwa lako 😁
Jeuri acha kukopa😆Nakuambia nibebe.
Yes ndugu mdau,Dah 😅 et usitume kwa namba hii ina changamoto nimecheka mnoo
Dah vigimbi tena vipara😅😅
Inasikitisha aisee 🥹
Aiseee hii mbaya sana Gentleman duh
Exactly Gentleman hapa umekuja kama mshauri nasaha👏👏🐒
Si utani🤣,napenda amani😁Jeuri acha kukopa😆
Hahaha kawaida hizo ahadi na huwa hazina presha kama deni la kitu. Mbona hata utotoni tulikuwa tunaambiwa ukifaulu nitakununulia baiskeli? Hiyo ahadi ilitimia kwani ?Ahaaa sawa maana ahadi ni deni
Ila deni la Ahadi haliwezi kukufanya usicheke
Mimi nilijua laziama upakuwe minyama 😅Yes ndugu mdau,
binafsi ni mtu wa kuelezea ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu tena bila kificho wala kupepesa macho.
Niko kigoma kwa kina mwijaku 🐒unaishi wap ndugu mdau, japo sio muhimu sana?🐒
Mie naogopa madeni so mara nyingi hua sikopi ikitokea nimekopa nitajinyima kwa namna yoyote nilipeSi utani🤣,napenda amani😁
Sasa mtu anichanganye mbona ataniona kero yeye anaedai.
Yes,Mie naogopa madeni so mara nyingi hua sikopi ikitokea nimekopa nitajinyima kwa namna yoyote nilipe
ok.🐒Mimi nilijua laziama upakuwe minyama 😅
Niko kigoma kwa kina mwijaku 🐒
Nilikuwa naogopa kama weye😁,,nilikuwa sikopi.Mie naogopa madeni so mara nyingi hua sikopi ikitokea nimekopa nitajinyima kwa namna yoyote nilipe
Naomba mkopo ili nithibishe nidhamu yangu ya kulipa kwa wakati bila kupepesa macho 🐒Yes,
hiyo ndio haswa inapaswa kua tabia na nidhamu ya mkopaji yoyote ile. Kujinyima na kujitoa bila kujibakiza katika kutimiza malengo uliojiwekea kwa kutumia mkopo huo.
And for sure, you will make it 🐒
So saiv huogopi my love😅Nilikuwa naogopa kama weye😁,,nilikuwa sikopi.
Inategemea🤣🤣,sio mkopaji kivileeee🚶♀️So saiv huogopi my love😅
NomaMadeni ni sumu iliyochikua uhai wa marehemu