Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

Mimi nadaiwa na voda 600/=,halotel 2200/= na hesleb 5,000,000/= na pia ni jobless najitahidi sana kuepuka madeni lakn haya madg madg kuyakwepa ngumu
Hsbl wanakudai ngapi mkuu?? Mbona kama hela ndgo kabisa hiyi
 
We tulia tu Tushaambiwa tunadaiwa watz wote sijui tilioni ngapi jumla.
Yaani ww hilo deni lako cha mtoto una deni lingine huku hujui.
Kula ugali maharage piga kimya
 
Madeni siyo ya kuyaogopa, kwanza ukiwa na deni ndo utapata akili ya kutafuta pesa kila kitu kinachangamoto yake lakin wakati huohuo kinatengeneza nafasi nyingine ndani yako
 
Nilijua ni mimi tu aisee najutraaaaa na sitokaa nikarudia nimedharirika nimepoteza direction ya maisha hakuna kinachoenda kwe maisha nna sket mbli tshert mbil na sijui yatapita yaend wap ni kam yapo kuninyoosha aman naiskia kwenye redio nimechoka yule alojirusha ghorofan nataman ngekuwa mimi nipumzike kwa kwel but all in all Mungu mwema[emoji24][emoji24]ila hii hali sikia tu
 
Hyo hali isikie tu kwa mwingine ikikufika ni hatari sana, kuna muda unakata tamaa hata yakuishi tena maana hauoni mbele wala nyuma.pole sana mungu akuvushe
Ni kwel mtu hawez elewa mpaka yakufike mi najutraaaaaaaa[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Deni haliuwi mtu. Musiba anadaiwa Bil 7 na aliyeanzisha Deni kafa. Mdaiwa anadunda tu mtaani. Ni kujifunza kuwa positive.
Den haliui aisee linakosesha aman asikwambie mtu mwenye connectio na kaz yoyote ya ya usafi tu anipe nilipe madeni ya watu niishi kwa aman plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…