Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

Kujiua kwasababu ya madeni si kweli ,kutakuwa na kitu kingine kime trigger ,ukiona mtu anakopa maana yake ni hustler anapenda life zuri so haiwezekani hustler mpenda vizuri ajiue never.
Aisee nyamaza hii issue mpak ikufike ndo waweza elewa but [emoji24][emoji24]ni huzuni
 
Aisee nyamaza hii issue mpak ikufike ndo waweza elewa but [emoji24][emoji24]ni huzuni

Roho ya kujiua ni mapepo ,deni aliui ,kuna vitu vingi vimetrigger ,inawezekana mtu ana madeni halafu mubebez anamchanganya hapo kama haujapata ushauri unaweza kujitundika.
 
Madeni siyo ya kuyaogopa, kwanza ukiwa na deni ndo utapata akili ya kutafuta pesa kila kitu kinachangamoto yake lakin wakati huohuo kinatengeneza nafasi nyingine ndani yako
Kuna wakati akili inagoma inafulumia tu huon hat wapi ukapambanie ili utoboe
 
Ndio ni mwajiriwa kabisa ila ajuae ni Mungu kama ulivyosema
Mungu akusaidie mkuu japo pia hizi huruma zinaweza zisikusaidie kitu zaidi ya kukupa emotional comfort. Ila deep down najua mkuu kuna maamuzi magumu unatakiwa kuchukua, usiishie tu kwenye kuhuzunika

Lala ukiiwaza next step maana hata mimi nimeshawahi kuwa kwenye hilo box na upuuzi mkubwa ni kuhisi hakuna maisha nje ya hapo. Weka targets mkuu, jifue uwe nondo kwenye field yako na utengeneze extra skills ili ikitokea kazi nyingine hata kwa private sector utoboe. Ukibaki unalalamika pasipo career growth, I'm sure hata baada ya miaka utabaki hapo hapo kwa sababu hutokuwa na option na kama ofisini hawaon value unayoongeza hata na wao wanaweza kukuundia zengwe uondolewe


Kiufupi weka targets, na jitengenezee mazingira ya kukua career wise.. Yaani jikaze kisabuni hata kama moyo unavuja ila hakikisha hujihurumii ili hata baada ya miezi sita au mwaka uwe mtu tofauti. Nina experience ya ninachokiongea, sitoi motivational speech, Mungu akakuongoze kujipambania lakini zaidi kutoiruhusu hali yako ya sasa kuwa definition ya future yako, you can be somebody else brother 🙏🏽🙏🏽
 
Nilijua ni mimi tu aisee najutraaaaa na sitokaa nikarudia nimedharirika nimepoteza direction ya maisha hakuna kinachoenda kwe maisha nna sket mbli tshert mbil na sijui yatapita yaend wap ni kam yapo kuninyoosha aman naiskia kwenye redio nimechoka yule alojirusha ghorofan nataman ngekuwa mimi nipumzike kwa kwel but all in all Mungu mwema[emoji24][emoji24]ila hii hali sikia tu
Wewe huna shida hadi unaandika kizuchuzuchu ""najutraaa""" tuachie masikhara yako binti,,,Lakini nje ya hayo na kama hutojali pia,,kaa ukijua ya kuwa Nakupenda Binti Mwaghe,,,using'ate mbao kabla ya kuzagamuana mimi na wewe,,Sawaa Mamii!!
 
Kuna ndugu yetu ni mwajiriwa tena ofisini aliwah pitia hii hali hadi akawa anatoroka kazin anaenda kufanya ujasiriamali wa kuunza maandaz stand ili aweze kutoboa mwez

Ilibid sie walalahoi ndo tujichange change ili alipe baadhi ya madeni maana alifikia hatua mbaya mpaka akawa anataman kujiua,kila Mara akawa anatoa machoz tu
 
Nadaiwa pesa kiasi cha Tsh milioni 37 halafu zote nilipiga hasara sina hata mia mbovu zaidi ya kijimshahara
Hiyo hatari na 2027 sio hapa..haya mambo kama hayajawahi kukuta unaweza kumuona anayedaiwa ni mzembe au tapeli kumbe mambo ni kinyume kabisa.
 
Kuna muda inabidi ufanye maamuzi magumu, kuna madeni mengine unaona kabisa hayalipiki,hayo unayapiga chini..kama ulikuwa mkoa x hama nenda mkoa y ukajipange upya,hayo madeni achana nayo maana utakapojaribu kuyalipa ndo utajimaliza kabisa.
Kuna shemeji yangu alikopa kama mil 20 bank,sasa wakati anakopa kumbe tayari ana madeni ya watu binafsi..ile hela badala ya kufanya alichokusudia akajikuta anaanza kulipa madeni. Kuja kushtuka kafanya marejesho mawili tu na kabakiwa na mil 8.Ilibaki kidogo ajiue,kaz ya ziada ilifanyika kumuweka sawa.

Wengi wanaogopa sana kudhalilika na kuonekana matapeli ukizingatia profile ambayo tayari wanakuwa wameijenga.
 
Wewe huna shida hadi unaandika kizuchuzuchu ""najutraaa""" tuachie masikhara yako binti,,,Lakini nje ya hayo na kama hutojali pia,,kaa ukijua ya kuwa Nakupenda Binti Mwaghe,,,using'ate mbao kabla ya kuzagamuana mimi na wewe,,Sawaa Mamii!!
Nimecheka kwa maumivu so nimeandika kizuchuzuchu aya bwana asante
 
Madeni mengi watumishi tunasababishiwa,,,mfano Mimi nilianza kazi baba na mama wakaachana ikabidi nichukue mkopo faidika ili nimjengee mama kajumba ka kujishikiza baada ya hapo ikabidi nianze kumjengea angalau kajumba kenye hadhi kidogo namshkr mungu kapo hatua nzuri,,,cha ajabu kabla sijamaliza upande huo baba nae anatakiwa kujengewa kanyumba maana nyumba anayoishi ni aibu kuitazama napanga nkachukue mkopo umiza angalau nikamjengee angalau apate pa kujificha,,,,namshkr mungu nimejenga kwangu japo sijakamilisha bado yaani madeni Hadi huruma.

Nashauri wazazi tupambane kujiweka sawa kuepuka kuwabebesha watoto mizigo wasiyostahili kubeba inawaumiza watoto,,,,inafika wakati tunanuniana na mke wangu maana kipato cha familia muda mwingi kinaishia kutatua shida za wazazi na ndugu.
 
Back
Top Bottom