Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

Kuna mtu aliuza nyumba yake ya pekee kwa akili ya madeni. Demi ni zuri ukipiga mahesabu ya kina.
 
Basi mi sugu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nikikaa mwenyewe ndo nalia ila nikiwa na watu walaa niko fresh kabisa sikondii wala nini
kweli umekuwa sugu πŸ˜…πŸ˜… ila wengine ilifikia level unadaiwa na watu na unadaiwa na taasisi .. acha tu
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kuna muda unatamani hata mtu akosee kutuma hela iingie kwenye simu yako utatue mambo yako
lazima uwaze hilo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… acha tu madeni sio kitu cha mchezo aisee
 
Unalazwaje ndani kisa madeni? Halafu tena mwajiriwa, uliza sisi tuliojiajiri na maisha yalivyotupiga tangu Mwendazake ashike nchi, Mwendazake aliua sekta binafsi kabisa, wahandisi na wasanifu majengo tuliojiajiri mambo yakaanza kwenda kombo, sasa madeni yametukaba tunapumua kwa mashine, wewe mwajiriwa huna madeni usihofu.....
 
Nadaiwa pesa kiasi cha Tsh milioni 37 halafu zote nilipiga hasara sina hata mia mbovu zaidi ya kijimshahara
Ulizimbotea sio? Mademu wanamaliza hela sana pia. Pole lakini hilo si deni, achana nalo anza upya...
 
Hiyo hali isikie tu kwa mwingine ikikufika ni hatari sana, kuna muda unakata tamaa hata ya kuishi tena maana hauoni mbele wala nyuma. Pole sana Mungu akuvushe
Siku ikitokea umekata tamaa ya kuishi usiende kwenye majengo marefu kujirusha, mnatupa kazi sana yakusoma taarifa, wee ukichoka maisha nenda kwenye mto wenye mamba ukapotee huko tusijue yaliyokukuta...

Au ingia kwenye pipa lenye conc. Sulphuric Acid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…