Nije katika mada, jana nimeshuhudia uendeshaji wa magari wa kizembe mno mno kwa madereva watokao njia ya Moshi.
Madereva hao wazembe karibu wanisababishie ajali tatu. Yaani mtu ana overtake kizembe sehemu isiyo stahili huku wakiwa wanashindana kukimbiza magari, seriously? Na wengine yawezekana sio wazoefu kabisa wa high way driving.
Inasikitisha sana sana watu wasivyojali maisha yao.
Ninaomba jeshi la polisi liongeze udhibiti wa mwendo na uendeshaji mbaya kwa hawa madereva. Mbali na kuhatarisha maisha yao, pia wanahatarisha ya wengine wasio na makosa.