Madereva mnaotokea njia ya Kaskazini msiendeshe magari kizembe

Madereva mnaotokea njia ya Kaskazini msiendeshe magari kizembe

Sasa mtu anaendesha hiyo kitu alafu unaona ana overtake VanGuard na Harrier at a go.! [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Au anatanua mbele ya VanGuard.[emoji1787]
Vanguard mwamba wa highway!
 
madereva wa mjini hapa wakienda mikoani wanadhani bado wako hapa mjini walipozea kutanua kizembe zembe..nimeshuhudia pia njia ya dodoma arusha, morogoro iringa/mbeya na hii ya moshi dsm..
Dodoma-Arusha Ile njia tamu na haina magari mengi. Eg. Dom-Kondoa imenyooka.
 
Kama ndiyo mbinu mnayotumia hii not so sure if it works yaani inachekesha ujue😂 mtu anakimbiza gari ili baadaye arudi kupiga saundi🙌 mtafika mbinguni mkiwa hoi kwa uchovu
Potelea mbali tufike tumechoka, nyie wenyewe ndo mnatutengenezea mazingira magumu.....
 
Kwani kama umemuelewa mdada unashindwa kumfata tu kiustaarabu ukamwambia, hadi uanze na mikwara ya kukimbiza gari😂😂 kweli mmeumbwa mateso kuhangaika
Poa sitakuja na sound za subaru, ila usije kuniangushia kitu kizito kichwani....😂😂
 
Mimi nimekataa kupanda gari yoyote ya nyumbani hata jirani... nimekataa kabisa kupanda gari ndogo. Kwanza nimetoroka[emoji23][emoji23] nimeenda pandia zangu kilimanjaro express njia panda. Bora hata nipande coaster ila siyo hizo gari ndogo. Hapo njia panda nilikua natizama vigari vidogo mpk naogopa hao madereva wake. Kuna muda hillux ilituovertake jaman acheni... ni vile dereva wa basi letu mstaarabu. Alitunyooshea haswaaa yaan unabaki mate yamejaa mdomoni. Mtu hana ligi na wewe ila wao sasa.. ukizingatia sherehe ni nyingi toka tar 25 mpk tar 1. Watu wanakuka na kunywa tu hawajapumzika hata halaf wanawaza kuwahi mjini waende maofisini na kwenye biashara zao basi ni matatizo

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Au IST anaovateki semi mlimani
semi (mlimani) una overtake tu kikubwa cha kuzingatia hapo ni kuoiga chabo kama mbele ni kweupe au la? ukisha ona ni kweupe una piga OD yako una sepa... sababu kufuatana na malori milimani ni hatari mkuu kama wewe sio mtaalamu wa high way huwezi kuelewa hili malori some times huwa yana feli mzee ni bora ulifuate muda wa kushuka mlima na sio kupanda, lakini pia ukilifuata lori linalo panda mlima litakuboa tu, ndio maana ukiona hivyo una jiridhisha tu hakuna anaye shuka..? then una overtake lori na kupeta na safari yako.
 
Back
Top Bottom