Madereva mnaotokea njia ya Kaskazini msiendeshe magari kizembe

Madereva mnaotokea njia ya Kaskazini msiendeshe magari kizembe

Au IST anaovateki semi mlimani

Hahah...sasa kwenye mlima semi si linakuwa halina nguvu?

Au IST ndio inakuwa haina nguvu zaidi? Maana sijawahi endesha hizo gari...
 
Hahah...sasa kwenye mlima semi si linakuwa halina nguvu?

Au IST ndio inakuwa haina nguvu zaidi? Maana sijawahi endesha hizo gari...
Semi ni refu hiko kikwazo namba moja,pili mlimani na IST haina nguvu.
 
Kwa kweli nchi ina madereva halisi wachache sana. Siku moja natoka Mbeya nakuja Dar. Nilivyomaliza Kitonga kuna kona. Kwa vile huwa najua kuna madereva wasojali maisha yao na wengine, kwenye kona huwa napunguza mwendo na mara nyingi napiga honi hata kama sioni kitu. Basi ile namaliza kona tu, nianza njia iliyonyooka, naona jamaa ana ki-IST chake ana-overtake roli semi-trailer. Tayari yuko katikati ya semi-trailer, hawezi kurudi upande wake kushoto. Kwa vile ana overtake mwendo wake ni spidi kali. Kwa busara zangu, nikaparamia nje ya barabara akapita. Yaani na mimi ningekuwa spidi kwa kujiamini eti niko upande wangu, ile ingekuwa ajali mbaya sana.
Huyo amefanya kosa kwa kuwa ameovertake eneo ambalo lina blindspot mbele na hakika hata maeneo hayo mistari haikumruhusu kufanya hivyo.
 
Kwani wa aina hii ni mmoja tu Tanzania, ndugu? Wengi tu wanafanya na kusababisha machungu kwenye familia za watu wanaotii sheria bila shuruti.
Huyo amefanya kosa kwa kuwa ameovertake eneo ambalo lina blindspot mbele na hakika hata maeneo hayo mistari haikumruhusu kufanya hivyo.
 
Fwata kanuni za driving kwa kujihamami
Heshimu vibao hasa hasa unapokuwa unakimbizana na gari ingine na wewe upo nyuma acha ile mistari ikuongoze kwa usahihi nakwambia utafika safari yako salama.
 
Back
Top Bottom