Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa nini umesema hivyo sis darling!Hata wewe makini brod darling. Daah ila upo vizuri sana kwenye saikolojia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa nini umesema hivyo sis darling!
Hana kitu mbele ya crown, gari inayosumbua crown ni v8 tuVanguard mwamba wa highway!
We jamaa acha kufananisha Sedan na SUV safarini.Hana kitu mbele ya crown, gari inayosumbua crown ni v8 tu
Hahaha, haya bwana, mada ya upande ule umeileta huku kweli?[emoji23][emoji23]Ewaaaa ushanielewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188]
Kwenye carina nikibonyeza button ya PWR naweza ku-overtake hata kweye mlima, hii kitu ina nguvu hatari......mara 100 IST
Yeah kikubwa makadirio ya anayekuja mbele yako awe mbali mzee maana anaye shuka anakuwa [emoji91][emoji91][emoji91]Kwenye carina nikibonyeza button ya PWR naweza ku-overtake hata kweye mlima, hii kitu ina nguvu hatari......
ndo maana ukafundishwa udereva wa kujihamiDah usinikumbushe mkuu, yaani kaovertake wa kwanza, wa pili, watatu then wa nne IST yupo mbele yangu uso kwa uso hamna nafasi. Gari ikaanza kuyumba kupoteza uelekeo ikabidi nipeleke gari yangu pembeni ili apite, aiseee.
Waje huku route ya Mbeya, ndo watajua kweli wana magari au viberenge.Nije katika mada, jana nimeshuhudia uendeshaji wa magari wa kizembe mno mno kwa madereva watokao njia ya Moshi.
Madereva hao wazembe karibu wanisababishie ajali tatu. Yaani mtu ana overtake kizembe sehemu isiyo stahili huku wakiwa wanashindana kukimbiza magari, seriously? Na wengine yawezekana sio wazoefu kabisa wa high way driving.
Inasikitisha sana sana watu wasivyojali maisha yao.
Ninaomba jeshi la polisi liongeze udhibiti wa mwendo na uendeshaji mbaya kwa hawa madereva. Mbali na kuhatarisha maisha yao, pia wanahatarisha ya wengine wasio na makosa.
Mkuu, hii ni njia ninayopita mara nyingi kila mwaka. Bahati nzuri nimeoa huko na nina makazi huko pia. Ni kana kwamba watu walikuwa wamefungiwa na sasa wameachiwa...unakuta mto post ndo safari yake ya kwanza kwenda hiyo njia ya kaskazini so akiona vyuma vinasaga lani anahisi ka vinamtumbukiza mtoni. Mtoa post bora uwe unapanda usafiri wa uma ka unaroho nyepesi watu wa hiyo njia miaka yote wanafanya hivyo na si wazembe ka unavyofikiria ila we ni mwoga ingekuwa ni wazembe ka usemavyo ajali zingekuwa zakutosha.
Pia usizungumzie makosa ya hao watatu kama ndo wote hufanya hivyo maana unaonekana unachuki bayana dhidi ya madereva wa kaskazini ama watu wa kaskazini.
Ni wa Kaskazini tu wanaendesha hovyo au mimi ndo sijakuelewa?Nije katika mada, jana nimeshuhudia uendeshaji wa magari wa kizembe mno mno kwa madereva watokao njia ya Moshi.
Madereva hao wazembe karibu wanisababishie ajali tatu. Yaani mtu ana overtake kizembe sehemu isiyo stahili huku wakiwa wanashindana kukimbiza magari, seriously? Na wengine yawezekana sio wazoefu kabisa wa high way driving.
Inasikitisha sana sana watu wasivyojali maisha yao.
Ninaomba jeshi la polisi liongeze udhibiti wa mwendo na uendeshaji mbaya kwa hawa madereva. Mbali na kuhatarisha maisha yao, pia wanahatarisha ya wengine wasio na makosa.
Tatizo driving ethical ziapuuzwa sana mkuuHili la kujihami naona lilishawashinda madereva wengi wa hapa bongolala.......ni kukamua mafuta tu.
So sad duh...Ni hatari sana , tunacheka kama mazu4i lakini ni mpaka pale utakapompoteza ndugu yako ndio utaelewa ...
Tarehe 24/12 nilipokea simu mdau wangu kapata ajali akitokea ofcn huko TNG na pikipiki yake ya ofcn
aligongwa na hao hao vijana wazembe walikuwa wakielekea arusha
Alipata majeraha na kushonwa lakini kaponea chupu chupu,
Lakini hilo gari baada ya kumgonga na kujaribu kumkwepa likaenda kuwagonga wamama waliokuwa maeneo ya biashara hapo pembezoni mwa barabara... mmoja alifariki pale pale mwingine Hospital..
Madervea kuweni makini!
Siku zote me naamnia katika Defensive Driving
Dah usinikumbushe mkuu, yaani kaovertake wa kwanza, wa pili, watatu then wa nne IST yupo mbele yangu uso kwa uso hamna nafasi. Gari ikaanza kuyumba kupoteza uelekeo ikabidi nipeleke gari yangu pembeni ili apite, aiseee.