Madereva mnaotokea njia ya Kaskazini msiendeshe magari kizembe

Kwa kweli nchi ina madereva halisi wachache sana. Siku moja natoka Mbeya nakuja Dar. Nilivyomaliza Kitonga kuna kona. Kwa vile huwa najua kuna madereva wasojali maisha yao na wengine, kwenye kona huwa napunguza mwendo na mara nyingi napiga honi hata kama sioni kitu. Basi ile namaliza kona tu, nianza njia iliyonyooka, naona jamaa ana ki-IST chake ana-overtake roli semi-trailer. Tayari yuko katikati ya semi-trailer, hawezi kurudi upande wake kushoto. Kwa vile ana overtake mwendo wake ni spidi kali. Kwa busara zangu, nikaparamia nje ya barabara akapita. Yaani na mimi ningekuwa spidi kwa kujiamini eti niko upande wangu, ile ingekuwa ajali mbaya sana.
Dah usinikumbushe mkuu, yaani kaovertake wa kwanza, wa pili, watatu then wa nne IST yupo mbele yangu uso kwa uso hamna nafasi. Gari ikaanza kuyumba kupoteza uelekeo ikabidi nipeleke gari yangu pembeni ili apite, aiseee.
 
Kwa kweli nchi ina madereva halisi wachache sana. Siku moja natoka Mbeya nakuja Dar. Nilivyomaliza Kitonga kuna kona. Kwa vile huwa najua kuna madereva wasojali maisha yao na wengine, kwenye kona huwa napunguza mwendo na mara nyingi napiga honi hata kama sioni kitu. Basi ile namaliza kona tu, nianza njia iliyonyooka, naona jamaa ana ki-IST chake ana-overtake roli semi-trailer. Tayari yuko katikati ya semi-trailer, hawezi kurudi upande wake kushoto. Kwa vile ana overtake mwendo wake ni spidi kali. Kwa busara zangu, nikaparamia nje ya barabara akapita. Yaani na mimi ningekuwa spidi kwa kujiamini eti niko upande wangu, ile ingekuwa ajali mbaya sana.
Kipande chote kile toka Mikumi, Iyovi, Kitonga mpaka juu ya mlima pale ni sehemu hatarishi sana. Huwa nakuwa na adabu sana nikipita hilo eneo, kuna siku nilitaka kugongwa na bus la Majinja hapo kwenye zile kona za Iyovi. Me niko kibati bus ghafla likataka kuforce kuovertake semi mbili nilipiga brake na mahoni ya hatari ikabidi lirudi ndiyo tukapishana.
 
Kwa kweli nchi ina madereva halisi wachache sana. Siku moja natoka Mbeya nakuja Dar. Nilivyomaliza Kitonga kuna kona. Kwa vile huwa najua kuna madereva wasojali maisha yao na wengine, kwenye kona huwa napunguza mwendo na mara nyingi napiga honi hata kama sioni kitu. Basi ile namaliza kona tu, nianza njia iliyonyooka, naona jamaa ana ki-IST chake ana-overtake roli semi-trailer. Tayari yuko katikati ya semi-trailer, hawezi kurudi upande wake kushoto. Kwa vile ana overtake mwendo wake ni spidi kali. Kwa busara zangu, nikaparamia nje ya barabara akapita. Yaani na mimi ningekuwa spidi kwa kujiamini eti niko upande wangu, ile ingekuwa ajali mbaya sana.
Duh pole sana mkuu
 
Hahahaha [emoji1787][emoji38][emoji38] hii gari inachelewa kuchanganya Acha kabisaa kama umezoea kuendesha crown usithubutu ukafananisha na hii utakufa hata morogoro hautafikaaa
Sasa mtu anaendesha hiyo kitu alafu unaona ana overtake VanGuard na Harrier at a go.! [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Au anatanua mbele ya VanGuard.[emoji1787]
 
Tar 23 Desemba nilikuwa njiani, Dsm -Arsh.

Kuna vijamaa vilikuwa na carina & impreza!

Mtu anaovertake, anaanzia mbaali.. hadi mwisho anashindwa kuovertake. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ulikua na mnyama gani
 
Kesho kaa standby, napita hiyo mitaa yenu na mnyama subaru kwa speed ya kimbunga.......lazima nikupate tu mbebez....
Yaani nnachofikiria nini nini mkuu, uko na speed ya kimbunga na umepita , yes si ushapita huyo mbebe utampataje na upo speed? Afu waendesha Subaru siwaaminigi kabisa😂😂
 
Tukishapita na swaga ya spidi kali, baadaye tunarudi with all the confidence.....tunajua tunang'oa mbebez kiulaini.
 
Back
Top Bottom