Madereva mnaotokea njia ya Kaskazini msiendeshe magari kizembe

Au IST anaovateki semi mlimani

Hahah...sasa kwenye mlima semi si linakuwa halina nguvu?

Au IST ndio inakuwa haina nguvu zaidi? Maana sijawahi endesha hizo gari...
 
Hahah...sasa kwenye mlima semi si linakuwa halina nguvu?

Au IST ndio inakuwa haina nguvu zaidi? Maana sijawahi endesha hizo gari...
Semi ni refu hiko kikwazo namba moja,pili mlimani na IST haina nguvu.
 
Huyo amefanya kosa kwa kuwa ameovertake eneo ambalo lina blindspot mbele na hakika hata maeneo hayo mistari haikumruhusu kufanya hivyo.
 
Kwani wa aina hii ni mmoja tu Tanzania, ndugu? Wengi tu wanafanya na kusababisha machungu kwenye familia za watu wanaotii sheria bila shuruti.
Huyo amefanya kosa kwa kuwa ameovertake eneo ambalo lina blindspot mbele na hakika hata maeneo hayo mistari haikumruhusu kufanya hivyo.
 
Fwata kanuni za driving kwa kujihamami
Heshimu vibao hasa hasa unapokuwa unakimbizana na gari ingine na wewe upo nyuma acha ile mistari ikuongoze kwa usahihi nakwambia utafika safari yako salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…