Madereva wa Bolt waandamana kwenye ofisi za kampuni hiyo kupinga ongezeko la ofa wanazopata wateja

Hivi kwani kukiwa na ofa, si maana yake Bolt wana top up ile amount ambayo mteja amepewa discount? Does it mean kwamba kama nauli ilitakiwa kuwa 6000, then kwa sababu ya ofa mteja akaambiwa alipe 3000, si inamaanisha kuwa 3000 iliyobaki Bolt watamlipa dereva wao wenyewe, na dereva mwisho wa siku atapata ile ile buku 6? Au kukiwa na ofa maana yake inakula kwa dereva? Nielewesheni taratibu nielewe kwa nini madereva wamind Bolt wakitoa hizo ofa kwa wateja?
Hawa top up wanakata kwenye marejesho yao ya mwezi.

Kwa hiyo mfano leo umeamka na abiria wa ofa sehemu ya elfu 10 wanatoa elfu 3. Ukipata wateja watano unatengeza elfu 15 badala ya 50. Hapo unatakiwa uweke wese alisubiri mwisho wa mwezi hapo kuna service kumbuka mteja akiondoka na kitasa hadaiwi unareplace mwenyewe hapo kuna fee za parking kila kona dsm. Sijui kama umeipata picha hii biashara ilivyo kichaa.
 
Madereva wengi wa Bolt ni shuleless ingawa wapo wachache wenye elimu nzuri tu(wanapiga mark time) ,sasa unalalamika mteja kupewa offer na bolt? Wakati hiyo hela ya Offer inarudisha kwenye account yake dereva?

Bolt wanatumia mbinu ya offer kuwa retain customers ila madereva hawataki abiria mwenye offer ,zamani ilikuwa dereva anaona abiria kama ana offer ,ikaonekana kwamba wakiona una offer hawapokei simu.

Labda kidogo hiyo makato ya 25% inaweza ikazungumzika maana wanasema Kenya ni 15%.
 
Police bwana! Wenzao wanaandamana kudai haki zao,sio wawape ulinzi na kulinda Mali za raia wengine ili hao waandamane hadi kwao ofisi za BOLT kudai na kuelezwa kwa undani changamoto zao.... Police wanawatimua!!! Aisee hawa watu.
walikua na kibali? au huelewi kazi ya polisi ni nini?
 
Madereva wengi wa Bolt ni shuleless ingawa wapo wachache wenye elimu nzuri tu(wanapiga mark time) ,sasa unalalamika mteja kupewa offer na bolt? Wakati hiyo hela ya Offer inarudisha kwenye account yake dereva?

Bolt wanatumia mbinu ya offer kuwa retain customers ila madereva hawataki abiria mwenye offer ,zamani ilikuwa dereva anaona abiria kama ana offer ,ikaonekana kwamba wakiona una offer hawapokei simu.

Labda kidogo hiyo makato ya 25% inaweza ikazungumzika maana wanasema Kenya ni 15%.
hio tofauti ya 10% kenya- tanzania haiendi serikalini kweli?
 
Police bwana! Wenzao wanaandamana kudai haki zao,sio wawape ulinzi na kulinda Mali za raia wengine ili hao waandamane hadi kwao ofisi za BOLT kudai na kuelezwa kwa undani changamoto zao.... Police wanawatimua!!! Aisee hawa watu.
Hiyo taasis ninya kufumuliwa, mindset za kikkoloni. Hawafikiri nje ya box wanawaza kutumia nguvu tu
 
Biashara ndio maana zina regulators ambao ni serikali. Usiwe mjinga kiasi hiki
Afadhali mimi mjinga. Wewe ni mpumbavu. Unapojiunga Bolt unapewa terms and conditions. Tatizo lenu wengi hamjui kusoma au hamwelewi. Au njaa inakuwa imekula ubongo. Ukisoma ukaelewa utaona hicho kipengele. You have two options boya wewe. Kukubali au kukataa. Kama hujaridhika jitoe usije kuharisha hapa na kutoa povu sehemu zako zote za wazi mwilini.
 
hio tofauti ya 10% kenya- tanzania haiendi serikalini kweli?
TZ wanaumiza sana kwa kodi wajasiliamali /walaji wa mwisho.

Nashangaa mabank yanajisifu yameingiza trilioni kibao kwa mwaka kama faida ,hiii haikubaliki inabidi BOT wareguralate interest zao na makato maana wanatuminya sana makato/makodi ndiyo maana hela nyingi wanafaidi wao na kula kwa mlaji wa mwisho.
 
Na abiria tukaansamane wapi? Hizo ofa sio siku zote ni kama wao kuna siku wanapata na abiria pia wanatakiwa kuwa na ofa, madereva wanataka faida kubwa ndio shida hapo
 
Nadhani abiria unaweza pia kutumia utu na ubinadamu..hata kama umepata hyo ofa..unaweza kumtop up huyo mwendesha bolt amount zaidi.
Nilishawahi panda na nikapata ofa lakini nikaona distance aliponipeleka na nauli inayosoma ni parefu sanaa nikaamua kumwongozea tu kiasi ,inshort wanapitia mambo mengi sanaa ase
 
TZ wanaumiza sana kwa kodi wajasiliamali /walaji wa mwisho.

Nashangaa mabank yanajisifu yameingiza trilioni kibao kwa mwaka kama faida ,hiii haikubaliki inabidi BOT wareguralate interest zao na makato maana wanatuminya sana makato/makodi ndiyo maana hela nyingi wanafaidi wao na kula kwa mlaji wa mwisho.
serikali wasipopata vyanzo vya mapato vya kueleweka , mwananchi ataendelea kuumia tu
 
Inasikitisha sana ,tuna natural resources kibao ambazo serikali ikizitumia itakusanya mapato mengi ,tatizo ni kwamba viongozi wengi wanahongwa na wawekezaji kisha wanapewa kwa mikataba ya hovyo yaani 3% ni upuuzi.

Liganga/Mchuchuma tungeifanya hiyo project tungeuza chuma world wide ,bado uranium namtumbo ,bado gesi hatujaitumia kabisa ipo under utilized.
 
Hawa top up wanakata kwenye marejesho yao ya mwezi.

Kwa hiyo mfano leo umeamka na abiria wa ofa sehemu ya elfu 10 wanatoa elfu 3. Ukipata wateja watano unatengeza elfu 15 badala ya 50. Hapo unatakiwa uweke wese alisubiri mwisho wa mwezi hapo kuna service kumbuka mteja akiondoka na kitasa hadaiwi unareplace mwenyewe hapo kuna fee za parking kila kona dsm. Sijui kama umeipata picha hii biashara ilivyo kichaa.
Biashara kichaa vipi na unapata platform ya kupata wateja wa urahisi kwa marketing ya bolt.

Boda wa kawaida atakaa kijiweni kusubiri foleni ila wa bolt hata akiwa analala ndani tu request zinaingia na anapiga trip.

Humu jf tuna shida kubwa ya uelewa. Kuna kitu kinaitwa economies of agglomeration. Ukiacha kutumia bolt utaingia hasara usiyoweza iona ila utakua na labor hours chache sana hivyo kipato kushuka hasa ukimpeleka mteja tegeta huwezi pata wa kugeuza naye!!! Hiyo ni hasara usiyoweza iona kwa short run!!
 
Nilishawahi panda na nikapata ofa lakini nikaona distance aliponipeleka na nauli inayosoma ni parefu sanaa nikaamua kumwongozea tu kiasi ,inshort wanapitia mambo mengi sanaa ase
Huwa wanalipwa mkuu, yaani kama nauli ni 10,000 na umelipa 5,000 basi Bolt wanarudisha elfu 5 kwa dereva (subject to 25-30% ya commission) wanayokata kwenye nauli ya mwisho.

So mwisho wa siku anayepata hasara ni bolt sio dereva.
 
Inasikitisha sana ,tuna natural resources kibao ambazo serikali ikizitumia itakusanya mapato mengi ,tatizo ni kwamba viongozi wengi wanahongwa na wawekezaji kisha wanapewa kwa mikataba ya hovyo yaani 3% ni upuuzi.

Liganga/Mchuchuma tungeifanya hiyo project tungeuza chuma world wide ,bado uranium namtumbo ,bado gesi hatujaitumia kabisa ipo under utilized.
kuna miradi toka tuanze kuisikia ina miaka zaidi ya 15 lakini kwa sasa habari zake hata hatuelewi mafanikio yake yapo vipi.
 
ooh! wale walioandamana kwenda ubalozi wa Vatcan kibali nimekumbuka uliwapa wewe bibie!
sasa mkuu emu tujadili kwa makini kama akili zipo kweli,

hao wavatikani uliowataja na hawa madereva nani kapewa kashkash na polisi na kwanini? maana akili hizi unazotaka kutumia muda huu ndo ziliwaingiza watu road na baadae chamtema kuni kilionekana
 
Kauli za machawa hizi.
 
Back
Top Bottom