Hakuna kitu kama hicho...SEHEMU nauli elfu kumi, upewe ofa 500,? huo ni uzushi tu..Kubwa how kama anakuja nauli ya 10k unalipa mia tano hakunaga offer ya namna hiyo let's say kapakia abiria watatu wenye offer anapata nini
Hakuna nywi nywi nywi Wala nywa nywa nywa..si wajitoe ...wamelazimishwa kujiunga na bolt...Kuna Mijitu mipumbavu sana...wanaona wivu wateja wakipewa bonas ama ofa..tunaujua huo mchezo, najua sio madreva wote, hao watakua wamelipwa na kakikundi Cha watu ambao wanataka kuleta kuchomeka kampun yao, wame collaborate na Wadau wengine,,,,tunajua hio michezo michafu, Sasa huwez kufanya biashara kwenye mazingira kama hayo, ndio mana Uber ameondoka ,,fitna fitna tu za *******Huwezi kuelewa utamu wangoma mpaka uingie ucheze save your energy kwenye vitu usivyo vijua namna vinavyo endeshwa au kuendeshwa. Naunga mkono bolt drivers
Huwezi kuelewa utamu wangoma mpaka uingie ucheze save your energy kwenye vitu usivyo vijua namna vinavyo endeshwa au kuendeshwa. Naunga mkono bolt drivers
Oooh! Hapo nimeelewa.Ofa wanalipa Bolt. Kinachomuuma dereva malipo hayo yeye atarudushiwa mwisho wa mwezi. Yaani mfano nauli 10,000 bei y ofa 3,000 hapa Bolt watamrudishia dereva 7000 minus commission mwisho wa mwezi.
Wanataka kuwa monopoly ili wakianza kuvuna faida kusiwepo na mpinzani.Sasa bolt wameruhusu vipi hii biashara kama hawapati faida ?
Basi itakuwa wengi hawafanyi hesabu kwenye kazi zao kwasababu wanalalamika hawarudishiwi hizo pesa. Na isitoshe kama malipo mengi wamepokea cash ndo inachanganya zaidi.Ofa wanalipa Bolt. Kinachomuuma dereva malipo hayo yeye atarudushiwa mwisho wa mwezi. Yaani mfano nauli 10,000 bei y ofa 3,000 hapa Bolt watamrudishia dereva 7000 minus commission mwisho wa mwezi.
Duh!Hawa top up wanakata kwenye marejesho yao ya mwezi.
Kwa hiyo mfano leo umeamka na abiria wa ofa sehemu ya elfu 10 wanatoa elfu 3. Ukipata wateja watano unatengeza elfu 15 badala ya 50. Hapo unatakiwa uweke wese alisubiri mwisho wa mwezi hapo kuna service kumbuka mteja akiondoka na kitasa hadaiwi unareplace mwenyewe hapo kuna fee za parking kila kona dsm. Sijui kama umeipata picha hii biashara ilivyo kichaa.
Wanajilalamisha tu kwa abiria muwaonee huruma. Asilimia kubwa hawajitambui.Basi itakuwa wengi hawafanyi hesabu kwenye kazi zao kwasababu wanalalamika hawarudishiwi hizo pesa. Na isitoshe kama malipo mengi wamepokea cash ndo inachanganya zaidi.
polisi wa nchi hii hawana tofauti na mbwaPolice bwana! Wenzao wanaandamana kudai haki zao,sio wawape ulinzi na kulinda Mali za raia wengine ili hao waandamane hadi kwao ofisi za BOLT kudai na kuelezwa kwa undani changamoto zao.... Police wanawatimua!!! Aisee hawa watu.
Huwa wana add stop hata kama ni uongo, so kwenye app inasoma kuwa alisimama sehemu ambayo mteja alitaka mfano dukani n.kMimi niliita bolt ikisoma shs 9000; kunifikisha kituoni ananiambia shs 12000 eti kulikuwa na jam.
Ukweli sijawaelewa vizuri.....
Roho za kichawi hizo.Hii nchi ya kipumbavu sana na wananchi asilimia kubwa ni wapumbavu ndio mana matabaka ya umaskin na tajiri yataendelea kua makubwa zaidi ..Yan mtanzania kuona mtanzania mwingine ananufaika kwa jambo lolote anaona ni haramu ..watanzania tunaoeneana wivu chuki na roho za kwanini ...rubbish kabisa ..eti ofa zimezidi ...mammbwa hao madereva